Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Usiku wote huu ushaanza uchuro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamshukuru Mungu kwa kuliokoa taifa, naam ataendelea kuliokoa tena.Watanzania wenzangu poleni sana Kwa kufiwa na Rais huko Bongo !mwaka 2021 March 19 (John magufuli)
Salamu za rambi rambi ziwafikie aliyekuwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu kasimu Majaliwa
Na Mama Janeth Magufuli
Kyaibumba:
HayatiNani kafa tena
Tusha msahau usitukumbushe yaliyo pita.Watanzania wenzangu poleni sana Kwa kufiwa na Rais huko Bongo !mwaka 2021 March 19 (John magufuli)
Salamu za rambi rambi ziwafikie aliyekuwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu kasimu Majaliwa
Na Mama Janeth Magufuli
Kyaibumba:
Huu ujumbe wako usikute unamaanisha Mama Samia kutoa Mzee Mwinyi kabisa. Tuombe Mungu isiwe hivyo maana angalau hiyo tofauti ya Mama Samia na Mzee Mwinyi inaweka hela mifukoni mwa sisi wenye uwezo.Watanzania wenzangu poleni sana Kwa kufiwa na Rais huko Bongo !mwaka 2021 March 19 (John magufuli)
Salamu za rambi rambi ziwafikie aliyekuwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu kasimu Majaliwa
Na Mama Janeth Magufuli
Kyaibumba:
Mkuu,2021 March 19
we jamaa we si mstaafu JFPombe za UKRAINE zitakumaliza hasa Yoga na Holilika hahaha
KUMBE UNAZIJUA MKUUPombe za UKRAINE zitakumaliza hasa Yoga na Holilika hahaha
KUMBE UNAZIJUA MKUU
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Nakunywa sana hizo haha ziko Kiev na MOSCOWKUMBE UNAZIJUA MKUU
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hahaha mwenzako bado ana mawazo kuondokewa unajibu kimzahaKama vile Kila tukikutana na majanga,tunavyowakumbuka Adolf,Amini na Botha.