Picha hii omenithibitishia kuwa Presidential protection unit ni tawi la uvccm, why wavae kijani wakati wapo kazini ?,wana JF wananielewa msimamo wangu kuhusu magu, kwangu ni katili,muuaji na why ameondoka bila kunipa majibu ya wapi alike Ben Saanane ndio nazidi kumchukia,it's so sad hata respected members humu wameshamsahau Mr. SAANANE, karibuni lingusenguse nimeshaanza matembezi ya vitindi vyote vya ulanzi, lazima kila mbeta niinywe yote, why ?pls usiniulize
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Despite spitful records on Democracy and Human Rights, the man was trully leader and visionary.
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Jpm
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Matanga yalishaisha muda.Hamjaanua matanga tu?
Keshaenda huyo, msipoteze muda kulia sana. Harudi tena
Basi tunawatakia kila la kheri kwenye maombolezo yao. Ila haisaidii sana maana inawapotezea muda.Matanga yalishaisha muda.
Lakini kadiri mnavyomtukana ndo wanaompenda wanavyozidi kuomboleza.
Matanga hayapoi hadi KADIMA iwepo
Hii thread leo kwangu ni ya mapicha tu siku nzima; mods wakiunganisha naanzisha nyingine.Hamjaanua matanga tu?
Keshaenda huyo, msipoteze muda kulia sana. Harudi tena
Sasa hivi keshakutana na akina Ben Saanane na Azory Gwanda wanamuuliza kuwa wewe ulidhani utabaki huko milele?
Nitakusaidia kuweka na ile yumo ndani ya jeneza kang'ata shukaHii thread leo kwangu ni ya mapicha tu siku nzima; mods wakiunganisha naanzusha nyingine.
Hakuna mwanadamu yeyote duniani anayejua mtu akifa kama anaenda jehanamu au peponi ni MUNGU pekee ndiye anayejua life after death.....hivyo tuache kufuru.The best way ni kumuombea lakini sio kuja na standing fulaniLeo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, ninajikumbusha niliwa kuandika nini kumhusu mtu huyu ambaye kwa sasa tayari yuko mbinguni kwa BABA YAKE Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Pumzika Magufuli Pumzika!, Tutakukumbuka Daima!.
Paskali!.