dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
🙏🙏msiba mzito huu, poleni wanafamilia na Watanzania kwa ujumla!!
Ninaitumia hio miundombinu kwenye shughuli zangu nnapokuwa Tanganyika.Haya sasa kalale kwenye hiyo miundombinu
Jana ulituambia anaendelea vizuri!!?Waliokuwa wanamuiga kutokuvaa mask. Jamani akili mkichwa.
Uchaguzi wa nn... Makamu anakuwa Rais kwa kipindi kilichobakiaYes,japo alikuwa ananiudhi,lkn sikuwa tayari kwa hili,sbb sikuwa tayari kuona uchaguzi aisee!
Mkuu mpasuko hautatokea.Kwa kweli ni huzuni sana ...Mungu atushike mkono kuna mpasuko mkubwa hatujui nini kilichopo,nini kinakuja,kwanini imetokea hivi?.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu tutetee Tanzania
Tunahitaji kurudi kwenye mstari mnyoofu sasa.Damn it. Nimeumia sana.
Tumepoteza mtu muhimu sana.
Now Tanzania tutapelekeshwa sana.
Ni kweliBaada ya kuondoka ndio sasa mtauona umuhim wake