TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Ni habari mbaya kwa taifa letu.

Kuna mazuri aliyoyasimamia hata kama aliyasimamia isivyostahiri.

Yote mazuri aliyoanzisha yaendelee ili kila Mtanzania afaidike kwayo, bila ya ubaguzi wala kinyongo.

Sote tu waTanzania.

Umoja wetu ndiyo nguvu yetu, tuujenge upya na tuuimarishe.

Mungu aiweke roho yake Mahali Pema.

Amina.
 
RIP Son of Africa.
EAST AFRICA MILELE.
images%20-%202021-03-18T000206.017.jpg
images%20-%202021-03-18T000145.039.jpg
 
Lema alifunuliwa akasema Mungu amemuonyesha ya kwamba Rais magufuli akiendelea kujiona yeye ni mungu hatafika 2020 lakini hakubadilika Mungu akamuongezea muda kidogo wa kujisahihisha lakini hakubadilika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom