This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Lissu karibu nyumbani tule ugali kwa mlenda.Furahi Sasa mkuu.Anasema yule jamaa wa ubelgiji ndo Rais ajae, Furahi Sasa mkuu[emoji3525].
Pole nyingi kwa Watanzania wote kwa kuondokewa na Rais wetu
Nilikuwa nimelala nikapigiwa simu, imagine usiku wangu ulivyoharibika. Si angeniacha tu nilale?Nilikua natizama series ya Dark Netflix, aliyenipigia simu niingie mitandaoni kaniharibia kila kitu[emoji22][emoji22]
Nawaza kama ATCL, SGR na Stieglers gorge vita-surviveMm Nina huzuni ila kuna watu Wana huzuni zaidi
Bashite
Musiba
Ushaur tu kwa atakayechukua kiti ana kaz ya kuliun ganisha taifa maana kuna mpasuko mkubwa Sana
Akae na vyama vya siasa vyote afanye majadiliano nao
RIP COMRADE
Ni msiba mkubwa Mkuu, kila mmoja ana namna yake ya kutoa machungu ya nafsi yake...Usianze kuleta mabishano humu asee
Nasikia mpak 2025.Alitaka kumaliza urais wake akiwa ameweka miundombinu muhimu yote ili ajae ajishuhulishe na mengine. Aliipa TZ heshima kwa nchi jirani.
Anyways, anaejua sheria inasemaje tujuzane, mama Samia ataongoza nchi mpaka 2025 au utaitishwa uchaguzi mpya?
Serikali imejaa waongo hii Mkuu kwanza ilitudanganya yuko poa kumbe kalazwa, sasa inatudanganya kwamba ni moyo kumbe ni COVID. Mkewe naye inasemekana yuko hoi.
Lia tu kwani nani anapata hasaraNimelia sana usiku wa leo...
Sina Cha kucomment[emoji26]
Wabongo Kwa unafiki utawaweza!.. hpo wanashangilia kimoyo moyo.Kumbe kuna watu wengine humu walikuwa wanamkubali Magu japo kimya kimya?!!!
Mungu asiposikia huwa anaona.Nakumbuka kampeni za mwaka 2015 walimkazia kuwa ni mgonjwa wakasema Ikulu sio hospitali hatuhitaji raisi mgonjwa