TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Akuna kitu kilikua kinanivunja moyo kama kumuongezea muda wa kutawala kwa miaka 7-7 tena.
Nilikata passport ya kusafilia kwenda nje ya TANZANIA.kuanza maisha ukouko. Ila sasa nitakua naenda na kurudi TANZANIA naipenda sana
 
Mm Nina huzuni ila kuna watu Wana huzuni zaidi

Bashite
Musiba

Ushaur tu kwa atakayechukua kiti ana kaz ya kuliun ganisha taifa maana kuna mpasuko mkubwa Sana

Akae na vyama vya siasa vyote afanye majadiliano nao

RIP COMRADE
Nawaza kama ATCL, SGR na Stieglers gorge vita-survive
 
Sooo saaaad!!!!!!
Masuala ya kuzindua kitabu cha maisha ya mtu wakati yuko hai kumbe si vizuri
"Magufuli the game changer" kweli the game changed...
Mungu amlaze mahali panapostahili.
Amen
 
Hakika nimelia. Machozi yamenitoka. Nahisi bado moyo unalia. Sikutegemea siku hii itaisha hivi. Apumzike kwa amani JPM. Hakika taifa litakukumbuka. Ulikua na vision uliyoisimamia kwa msimamo thabit. Ni ngumu kuamini!
 
Alitaka kumaliza urais wake akiwa ameweka miundombinu muhimu yote ili ajae ajishuhulishe na mengine. Aliipa TZ heshima kwa nchi jirani.

Anyways, anaejua sheria inasemaje tujuzane, mama Samia ataongoza nchi mpaka 2025 au utaitishwa uchaguzi mpya?
Nasikia mpak 2025.
Cha muhimi atibu madonda ya chuki yaliyopandikizwa na boss wake.
Watu warudishiwe uhuru wao.
Inakera sana kuishi kwa uoga nchini mwako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Vaa barakoa acha mbwembwe wanzungu unawajua we we? Eneweyii mwenzako akinyolewa zako weka maji ndio formula raha ya kufa huwezi ona ama sikia wanakusemaje ama hakika Mungu fundi tumuogope na kumueshimu yeye rip mwamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom