Kuna Mambo hamjui ni 9/03/2021Kalazwa tangu tarehe 6 March lakini hii Serikali iliyojaa waongo ikaendelea kutudanganya Watanzania kwamba yuko busy anapitia mafaili. Na si ajabu alifariki siku chache zilizopita WAKATUFICHA.
Anaeonekana chizi ni nani??Rais wa nini? Akiwa rais lisu ntamponda mawe hadharani Walinzi wake Waniue, niungane na Kamanda tu siwezi ongozwa na chizi mimi.
Sidhani hata kidogo.Now Tanzania tutapelekeshwa sana
Wakamatwe wote hao sasa na wengine wengi tuu kule TISS wana ya kujibu.
Bahati nzuri nilikua sijalala..nilikua natazama soka safi la tuchel akimnyanyasa el chapoUngemchapa ngumi kwa kukupotezea usingizi mkuu.
Pole mkuu. Sisi wengine machozi yetu yapo mbali sana na hasa kutokana na namna tulivyoumizwa na matendo ya utawala wake. Hakika sina hata tone la huzuni. Naogopa kuandika kilichopo moyoni mwangu nafikiri unaweza fikiria..Hakika nimelia. Machozi yamenitoka. Nahisi bado moyo unalia. Sikutegemea siku hii itaisha hivi. Apumzike kwa amani JPM. Hakika taifa litakukumbuka. Ulikua na vision uliyoisimamia kwa msimamo thabit. Ni ngumu kuamini!
kwani alikuumiza mkuu maana umeongea mazito sana aiseeMwenyezi Mungu mmiliki wa nafsi zote,kwake sote tutarudi.
Mheshimiwa Rais Magufuli,pumzika kwa amani baba.
Anazingua huyu...hata kama ni buku 7 sio kihvyo banaJamaniii [emoji119][emoji119] kuna watu taarifa za misiba uwa zinawashtua vibaya hata kama hausiani na marehemu. Usimcheke [emoji3]
Kila nafsi itaonja umauti leo kwa mwenzako kesho kwako. Jaribu kuwa na busara na utu hakuna binadamu kamili RIP Rais wetu.Nimefurahi mno
Mambo mengi yatabaki vile vile ndugu. Msiempenda kaondoka lakini ugumu/urahisi wa maisha yako upo mikononi mwako.Chuki itaondoka katika taifa letu, siasa za kishenzi mwisho wake, serikali kupika data na kuongea uongo wa wazi sasa mwisho. Na huu ni udhibitisho kuwa huku mitandaoni tunaongea mambo ya kweli. Mliokuwa mnamshabikia mtu muovu mjipange kuleta muovu mwingine tupaze laana zetu.