Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 215
- 392
Hakuna kiongozi atakuletea hela huku umekaaMwambie Lissu hawi rais na atatawala MwanaCCM! Nyie wachawi hamfui dafu.
Naam mkuu.Pole mkuu. Sisi wengine machozi yetu yapo mbali sana na hasa kutokana na namna tulivyoumizwa na matendo ya utawala wake. Hakika sina hata tone la huzuni. Naogopa kuandika kilichopo moyoni mwangu nafikiri unaweza fikiria..
Hv ishu ya kuibiwa kura imeanza wakati wa Magufuli au ww ndo umepata akili timamu wakati wa Magufuli.?Nasema hivi chuki itaondoka tu, hao wa kuiba wana kazi ngumu, maana hata yeye aliiongoza wizi wa kura kwani alikuwa na roho ya wizi, si kila mmoja ana roho chafu hivyo. Maombi yetu yamejibu fullstop.
Amekwenda, na hii ni njia yetu wote, lakini template ya makusanyo ya serikali aliyoiacha, na misingi aliyoisimamia ameacha legacy kubwa sana, na kama wanatawala hawatakuwa mafisadi, hakika hii nchi itasonga mbele, pumzika baba, mwendo umeumaliza.
ulitabiri wapi?Mama Samia kila la kheri kwa majukumu yako mapya, usisahau duniani tunapita tu.
Nlitabiri wewe ndio utake kuja kuwa shujaa wa taifa hili kwa kutupatia "KATIBA MPYA".
Sawa, tupo hapa tutaona. Hopefully uchaguzi ujao hamtaibiwa kura, msijee sema mzimu umefufuka umewaibia kura. Maisha ni haya haya nduguNasema hivi chuki itaondoka tu, hao wa kuiba wana kazi ngumu, maana hata yeye aliiongoza wizi wa kura kwani alikuwa na roho ya wizi, si kila mmoja ana roho chafu hivyo. Maombi yetu yamejibu fullstop.
Tunatakiwa tumuwashie moto huyu Maza sasaDah mpaka anafariki hakuongeza mishahara