TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Dah haya maisha ni kujilisha upepo tu hakuna cha maana.

R.I.P Magufuli
 
Nmeona watu wakipost RIP shujaa wetu, pumzka kwa amani Magufuli rais wetu!

Hivi ni kweli au naota?
 
Mzalendo namba moja. Kwahio sasa itakuaje waliobaki wote wanaanzia namba mbili?
 
gogoki apewe heshima..Ndio maana lissu alikuwa na uhakika sana.

Majaliwa alitupotosha kwa kusema kwamba raisi yupo njema na anachapa kazi ikulu while samia anatuambia kwamba tar hizo alikuwa anapewa matibabu mzena.
MZena ndo IPO wapi?
 
Wewe ndio umeandika la maana sio hawa wanaolia lia
 
Alitaka kumaliza urais wake akiwa ameweka miundombinu muhimu yote ili ajae ajishuhulishe na mengine. Aliipa TZ heshima kwa nchi jirani.

Anyways, anaejua sheria inasemaje tujuzane, mama Samia ataongoza nchi mpaka 2025 au utaitishwa uchaguzi mpya?
RIP Dr. JPM.
Katiba ya JMT: Ibara 37-(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopunguaasilimia hamsini ya Wabunge wote.
 
Wafanyakazi wliofukuzwa kwa vyeti feki nawashuri wajiorganiza wafungue kesi mahakamani kudai mafao yao, Mama samia ni mtu wa huruma atawasaidia maana kashapata somo kwamba mali,vyeo ni vya kupita.
Sasa kama ulifukizwa kwa sababu hukuwa na vigezo hapo umeonewa.?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…