TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Katika hili wapo watakao furahi na kushangilia sana juu ya msiba huu. Lakini siku si Nyingi watamkumbuka Huyu Bwana na watatambua Alikua anapigania nini.

Mungu Hata tuacha watu wema uchukiwa sana. Na maadui uwa wengi juu yao. Namwombea pia Rais wa Zanzibar Mungu amlinde na kila baya Amwepushie.
 
Kama ni dhambi itakayo watafuna viongozi wengi, nikupuuza kubadili katiba huku mioyo ya watu ikiendelea kuumizwa!

Viongozi tutambue hizi Mali hapa duniani ni za kupita tu!
Tupendane tule wote pasipo kuumizana kwa sheria mbovu

Namna bora ya kumuenzi magufuli nikubadili katiba haraka ili hata tukija kupata Rais ng'ombe kila mtu anufaike na keki ya taifa pasipo kuumizana!

Ingependeza hata matisheti ya msibani yaongozwe na hashtag ya!

#Tumuenzi Magufuli na katiba mpya!
Ili kuendeleza Yale mazuri aliyokuwa akiyafanya! Na kuondoa mabaya kizazi hadi kizazi!!
 
Wanatumia katiba gani? Huyo Bibie Samia anaapishwa kuwa prezzo. Tutaongozwa na Mwanamke kwa miaka mitano.
Sasa si amesema Makamu wa Rais?! Kama Samia ataona Bashiru anafaa, basi atatutumia katiba ndo hiyo hiyo unayoijua wewe!!
 
Okay kuanzia leo hakuna qualifications kwenye ajira kuwe na uzoefu tuu, umefurahi.?
 
Ina maana hiyo Hospitali ya Mzena ina huduma nzuri kuliko Muhimbili jamani!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…