Kazi yake iliisha mapema, ila ndio hivyo kujaribu bila ridhaa ya halaiki. Muumba naye anataka haki yake kupitia utukufu wakeVizuri Huwa havidumu. Mungu alitupa zawadi sasa ameichukua kazi pengine kazi aliyo pewa ameimaliza[emoji120][emoji120]
KapanikiAcha kupaniki kijana!
Ni kwaajili ya vigogoIna maana hiyo Hospitali ya Mzena ina huduma nzuri kuliko Muhimbili jamani!
Lowassa anaendelea kudunda tu, Utukufu wake MuumbaHivi 2015 kuna mtu angewaza JPM angeondoka kabla ya Lowassa?
Maisha hayana formula....
Uchaguzi wa nini wa Mwanalumumba? Hapa uchaguzi hadi 2025Yes, japo alikuwa ananiudhi lakini sikuwa tayari kwa hili sbb sikuwa tayari kuona uchaguzi aisee.
Da! Picha zinatafsiri yaliyojifichaNo one remain there.
Ni nani alipiga picha hii!!!!?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 1728443
Vipi leo unageuza manenoMkuu, JPM alikuwa jembe hasa
Mkuu NINA HASIRA sanaMataahira hayo, kujibizana nayo ni kupoteza muda tu, mtu kafariki, taarifa imetolewa, bado linalalama tu, kama zombie
Mkuu, tutasema yote, Ila kifo hakiangalii, wanasema eti tujifunze...tunajifunza nini wakati kila siku tunafukiana tu? Au wenzetu wanadhani tukijifunza kuishi vizuri na watu ndio hatufi!Kwahiyo unataka kusema mtu akifa kapewa adhabu na Mungu?
Okay kuanzia leo hakuna qualifications kwenye ajira kuwe na uzoefu tuu, umefurahi.?
Siwezi kuhukumu, la muhimu tuishi kwa kufanya mazuri zaidi ya mabaya, kwani siku, saa na dakika ya kuondoka hatuijui.Kwahiyo unataka kusema mtu akifa kapewa adhabu na Mungu?