TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
JEMEDARI alikua na tabia flani flani kwenye mahotuba binafsi ilikua inanitia hofu, Sitaki kuamini inaweza kua ni Sababu
 
Mama akiamua kupambana ili haki itendeke kama katiba inavyosema ili achukue kiti basi vita inaweza kuwa kubwa sana.
Ili apambane lazima atafute timu either awe mchato au yatima JK
 
Reactions: BAK
Sure....

Kilichobaki sasa ni kimoja tu...

Twende na mama yetu...

Mama msikivu, mpole, mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu...

Naona maono ya Tanzania mpya yenye umoja, mshikamano na upendo.

Kila jambo lina makusudi ya Maulana....
 
Wafanyakazi wliofukuzwa kwa vyeti feki nawashuri wajiorganiza wafungue kesi mahakamani kudai mafao yao, Mama samia ni mtu wa huruma atawasaidia maana kashapata somo kwamba mali,vyeo ni vya kupita.
Unafikiri wao watakuwa wamekaa muda wote bila shughuli ya kufanya kwa miaka 7? Cheti feki ni kosa kama makosa mengine. Ni uhaini kwa mujibu wa sheria
 
Wale wote waliofanya kazi karibu na marehemu lazima wapime na kujitibu ama sivyo tutalia sana!
Kaondoka watavaa maan alikua anawatisha ole wenu niwaone mmevaa hayo mjitu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…