Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walaaa.Majaliwa ndo Rais ajae baada ya SAMIA.
Ili apambane lazima atafute timu either awe mchato au yatima JKMama akiamua kupambana ili haki itendeke kama katiba inavyosema ili achukue kiti basi vita inaweza kuwa kubwa sana.
Ulale we mzee 😀Unacheka msibani?
Unafikiri wao watakuwa wamekaa muda wote bila shughuli ya kufanya kwa miaka 7? Cheti feki ni kosa kama makosa mengine. Ni uhaini kwa mujibu wa sheriaWafanyakazi wliofukuzwa kwa vyeti feki nawashuri wajiorganiza wafungue kesi mahakamani kudai mafao yao, Mama samia ni mtu wa huruma atawasaidia maana kashapata somo kwamba mali,vyeo ni vya kupita.
Heshima.JPM aliwapa wakati mgumu majirani na nilikuwa namuunga mkono kwenye hilo maana walikuwa wanatuona maboya.
Miradi mingi itajifiaNawaza kama ATCL, SGR na Stieglers gorge vita-survive
Kaondoka watavaa maan alikua anawatisha ole wenu niwaone mmevaa hayo mjituWale wote waliofanya kazi karibu na marehemu lazima wapime na kujitibu ama sivyo tutalia sana!
Msibani hakuna kulala. Ni vilio na maombolezoUlale we mzee 😀
You think so?Mjadala wa Conspiracy theory umefikia tamati...
RIP Jiwe gumu...
Yaani Dodoma na Chato sijui nini kitatokea. treni ikijitahidi sana itafika Morogoro, Dodoma itasuasuaGibadolite ya Mobutu
Ati?!Msibani hakuna kulala. Ni vilio na maombolezo
Nakusaidia kukileta, ila unaposoma uzingatie hizo zilizowekewa mistari myekundu na boksi jekundu utaelewa kuwa Rais hana mamlaka wala uwezo wa kuamua kiholela tu atakavyo mambo yaliyo kisheriaNngekuwa na katiba softcopy ningeonyesha na n mpaka niichambue mana cjakariri kifungu