TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Sleep well Jemedari farewell Comrade John Pombe Magufuli Nimeamini Siku Za Kuishi Si Nyingi
 
You think so?

Hardcore conspiracy theorists would say ‘the plot thickens’....

Yajayo yanafikirisha sana.
Hebu ngoja tumpumzishe mzee wetu, joto lishuke afu tuone yatokanayo na hili saga...

Kuna mengi sana ya kujifunza kweye hili. Kujikwaa si kuanguka.
 
Jamaa alikua na pacemaker ila alikua mbishi mno, angestaafu tu. Wachina wakamdanganya kitu kikalipuka wakashindwa rekebisha..... Au CIA wamefanya yao
Sasa kwanini hakuzima ule ujinga wa "atake asitake, tunamwongezea muda"?
 
Nakusaidia kukileta, ila unaposoma uzingatie hizo zilizowekewa mistari myekundu na boksi jekundu utaelewa kuwa Rais hana mamlaka wala uwezo wa kuamua kiholela tu atakavyo mambo yaliyo kisheria

View attachment 1728479
Mzee kwani wewe hujanielewa wapi c ndo hicho hicho nachomaanisha mimi, mwisho wa siku ni lazima nidhamu ifuatwe ht akiamua kufanya jambo bila ushauri wa mtu yeyote.
 
Hebu ngoja tumpumzishe mzee wetu, joto lishuke afu tuone yatokanayo na hili saga...

Kuna mengi sana ya kujifunza kweye hili. Kujikwaa si kuanguka.
Acha tu Komredi!

Kichwa changu kina mawazo mengi mno leo mpaka nahisi naanza kuchanganyikiwa!

Hapa nawaza....who’s next? Manake ndani muda mfupi sana tumepoteza viongozi wengi wa juu!

Mama Samia juzi nimemwona wala hana hata habari sijui za barakoa wala nini. Alikuwa yuko Tanga huko. Na alivyo na mwili vile...hmm Komredi hali inatisha.

Haya, vipi na yale mafisi ya CCM yaliyokuwa yanamwogopa Magufuli? Yanamheshimu kweli huyu mama? Na yeye ataweza kukabiliana nayo?

Ah nimechoka! Ngoja nitwange Balimi....
 
Acha uongo wewe
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Leo hii Tanzania katika ukanda huu ndio nchi inauwezo wa kujilisha bila kutegemea senti tano ya mfadhili."
 
Sijui kwanini nawaza na kujiaminisha nchi inarudi kwa JK. Namwona mtu kama JK kakamata rimoti kontroo kwa mbali....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…