TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Innaa Lilahi Wainna Ilayhi Rajiuun.(Hakika ya sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Mama Samia Ukikamata Uraisi fanya vitu 5 haraka sana.
1-Watoe Masheikhe wa Uamsho Mara moja
2-Rejesha Bureau mara moja
3-Mchakato wa katiba ya Warioba uendelee mara moja
4-Weka bandari huru au punguza ushuru sana special kwa Raia
5-Chagua Timu yako mpya ya Uhakika .
NOTE KIKULACHO KIMO NGUONI MWAKO
 
REST IN PEACE NGOSHA THE DON...
Umeacha alama na standards za JINSI YA KUFANYA MAMBO KWA VIONGOZI.
 
Na kuna kitu nakuwa napata hisia...

Kuna watu walio katika uongozi wataanza kujifanya wao ndio Magufuli waliobaki, si ajabu vikatokea vimtu kama kina Sabayer kwa mwamvuli wa kumuenzi the real JPM vikaongoza watu kwa mabavu kupitiliza!
Hao wala wasikupe shaka,yule nyoka aliekuewa anawapa kiburi tushagonga kichwa chake hakuna sumu tena,hawa tutawamudu tuu.
 
Mmeshaanza kumpangia ya kufanya. Huytamchukia nae sababu hawezi fuata maelekezo yenu.
 
Maisha ni mafupi sana:-

watu wamefukuzwa kwa vyeti feki na wamenyimwa mafao ,ni ukatili mkubwa sana uliofanywa...Tutende mema dunia tunapita,Jk alikuwa anajua kwamba kuna watu wenye vyeti feki lakini aliacha na kuwaambia wajiendeleze.
Kila kimoja hapo kina faida yake na hasara yakoe. R.I.P dr JPJM
 
Marehemu alikuwa jeuri sana na alijisahau sana na ndio maana katika kifo chake hakufanya maandalizi yoyote.
Mm nilianza kuwa na mashaka na maisha yake pale viongozi wa dini walipo mtangazia kiama.

Na ile hotuba ya kanisani kuwagonisha ikawa ndio hiyohiyo wala hakurudi tena pale
 
"...na mbwa wote wa kijani..."

Ni hapo hasa ambapo pamenipa shida!

Tutaanza vipi kupeana heshima tukianza namna hii?
 
Sikutaka kuandika lakini kwa hii comment nashindwa kuvumilia. Ulaaniwe
 
Yan sipatii picha lema na Lissu huko walipo watakavyojiachia na wiski huko
Sasa maono ya Nabii Lema yametimia.. Dci afute kesi ya Lema. Utabiri umetimia. Uko wapi ubabe wa wizi wa kura?? Uko wapi ubabe wa kupoteza watu? Dunia tuna pita... Sasa tuna kwenda kuona Tanzania huru. Tuna hitaji uwazi, tuna hitaji Tanzania moja sio kanda.
Magufuli ukifika muombe radhi Mawazo,
Muombe radhi mama yake Eric Kabendera, na wote ulio wadhulumu maisha kwa kutumia vijana wako.
Huenda mmoja wao akachovya kidole chake kwenye maji aupooze ulimi wako. Maana sioni jinsi utaiona pepo. Utawakuta kima Mawazo wakiwa na malaika. Wewe ukiwa ule upande wa pili.
 
So sad! Hata kama alikuwa na mapungufu yake lakini yapo mazuri yenye manufaa aliyofanya kwa ajili ya Taifa letu.
Hayo mazuri macheche zidi ya mengi maovu aliyanya kwa personal gain zake,populist ni hatari kwa afya ya nchi.
 
askari anayeua jambazi,anafanya unyama kwa ajiri ya dunia njema kwa wengine.

bahati mbaya kwa ndugu wa jambazi mtizamo ni tofauti.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…