Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ah....Well angalau mume ana kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah....Well angalau mume ana kazi.
Kila siku kuanza upya...Miradi mingi itajifia
Hornet wewe nimechekahatimaye kidoti ataolewa sasa.
Tumepata pigo sana,,sijui kama hiki cheo ntaendelea nacho,,Nitawaambia nini watu mimi! Tutaweka wapi nyuso zetu? 😭😭😭😭😭😭😭
Kupumzisha?Wenye malori ya mizigo watahakikisha SGR hai take off.
Stieglers itaendelea.
ATCL. Ikiwa British airways, KLM, Emirates wanapumzisha ndege itakua sisi?
GoodHapa nimeelewa sasa!
Wacha tuoneHornet wewe nimecheka
Ndio mkuu, tutamkumbuka sanaWanafiki wachache na wachumia tumbo lazima mumkumbuke mungu wenu.
Nyie ndio mnaamini watu kuliko mfumo imara wa Serikali,na hili alifanikiwa sana kuwalisha sumu. Hatatukubali tena kuongozwa na Populists.Nimelala mapema sana..dah .nilikua nacheka balaa tweeter ila dogo kwa hili tutayumba .dah nimesimama naangalia mwendokasi hapa dah ..anywys rip....
Safi sanaNimejifunza umuhimu wa kuweka akiba ya bia kwa friji
Pole sana mkuuHornet wewe nimecheka
Wewe mjinga wapigaji unafikili walikuwa wameisha ..Upigaji unarudi kwa spidi ya mwanga kudadeq. Wiki hizi watu watajipigia hadi tuombe poo. Mtanzania ni mtu hatari sana...