TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk
 
Kam kichwa cha habari kinanyosema; nisiwachoshe wafiwa,mh Rais ndo kama tulivyosikia; na kwa mujibu ya katiba yetu mama Samia ndo atakua Rais wetu kwa muda uliobaki hadi 2025. Sasa swali linakuja, atakua rais wa awamu ya sita....au ya tano inaendelea!?
Atakuwa raisi wa 6 katika awamu ya 5
 
Magufuli atakumbukwa mnoo
Watu kwa sasa wanasukumwa na mihemko ya kishetwani tuh

Shida sisi watanzania wengi wao wamejawa na unafki ipo siku rais akipatikana mwingn watasema tena”bora ya magufuli na sio huyu”inauma san
 
Kwa nini walikuwa wanakufa Ganga? How can we believe he died today? Could have been dead for a few days or weeks. It is dad, corruption will be back very soon.

are they going to free those people who said he was sick or dead. Tafadhali waaachieni, they were telling us the truth.
 
Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Nahisi wangekuwa hawalindi kaburi hilo watu wangefukua ili maiti iliwe na fisi...
Tuwe makini sana na tunayempa madaraka makubwa ya nchi. Haiwezekani tunakuwa na mtu ambaye hata kuumwa kwake hatuwezi kuambiwa! Jamani! Hii ni nini? Kwanini tunafika huko? Hivi vyama vijifunze kutuletea watu wa watu na siyo madikiteta wakubwa.
 
Pamoja na malalamiko mengi dhidi ya Magufuli
na mapungufu mengi ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakisema dhidi yake.
Niseme kwa kifupi Magu alikuwa raisi mzuri sana!!
Hakuna raisi mtakuja kumkumbuka kama huyu ngoja siku ziende kidoogo......
Wizi,ujambazi wa kupora fedha mitaani, kwenye mabenki, ufisadi vilidhibitiwa kipindi chake.
Sure
 
Kuna Mkulungwa alitutesa sana kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Ukijisikia kukuadhibu anakuchokoza alafu anakuitia Defender kwa pesa zake za upigaji bandarini.
 
Kuna Mkulungwa alitutesa sana kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Ukijisikia kukuadhibu anakuchokoza alafu anakuitia Defender kwa pesa zake za upigaji bandarini.

Naiona tanzania yenye mpasuko tuombe Mungu atuvushe salama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom