TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Una uhakika huo wizi ulisimama/haukuwepo kipindi hiki? Au ulibadili tu uelekeo! Kutoka kundi la awali na kwenda kundi lingine?

Kutesa kwa zamu. Ngoja na nyinyi mrudi kwenu kuchunga ng'ombe.
 
Ndo mana tulikua tunataka katiba mpya kubadili ule mfumo lakini hata yeye alishindwa kusimamia mabadiliko ya mfumo nae ni mpigaji tu alikua
 
Ikiwa unakiri alikuwa anapiga na kundi lake kipi kipya sasa
Siinaweza kuwa vzr kwamba mzunguko utakuwepo kwa watu wengi badala ya genge la watu wachache

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ni wakati wa taifa kuungana na kuomboleza kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukwel gap ya Magufuli hakuna mtu ataliziba, kaacha viatu vikubwa mno hakuna vitakaemtosha.
Kuna wengine wanachukulia ‘Utani’ lakini seriously Tanzania tumepoteza mwanga uliokua unamulika mbali japo ulikua wenye kutuletea maumivu makali machoni petu.

Kuna siku tutasema wote kwa pamoja Bora Magufuli kwa sababu alikua mwenye maono mengi, makubwa na mazuri kiasi kwamba sidhani kama kuna mtu mwingine alie nchini mwenye maono kama yake

Rest In Peace Mr. President 😭
 
Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk
Mambo yamebadilika kipindi kile watu walikuwa wanahisi bila Mwalimu TZ haiwez kuwepo utatokea mpasuko ndiyo maana walijawa hofu.
 
Subiri wamachinga nao waanze kukipata!

Nakwambia machadema yataanza kuwa ya kwanza kummiss Magufuli
 
apumzike kwa amani shujaa wetu historia ya Tanzania itamkumbuka daima, hakika tumepoteza kiongozi shupavu
 
Samia futilia mbali Uchaguzi wa serikali za Mitaa ili kuirudisha nchi kwenye mstari. Futa ubunge wa Covid-19 kupitia Chadema. Ondoa wakurugenzi , Ma-RAS, Ma-DAS wote ambao ni makada wa chama. Vyeo hivyo washike wataalamu ambao ni watumishi wa umma.
 
Huwa unawaza mabaya tu kwa wenzako?
Huna jema juu ya nchi hii?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…