This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ni kweli, lakini hatukuulizia hali yake sababu hakuwa na cheo chochote.Rais anagusa maisha ya WATZ wote.Lakini mbona Lowassa naye hajaonekana hadharani kwa muda mrefu sasa au ni mimi tu ndo sijamuona?
Apumzike kwa amani
Private hiyo mkuu! Sijui km alikua nawashauri wazuri wa afya rais lazima afanjiwe annually check up nje au ndani! Angeenda hata south basi dah!
Dah hii kauli alitamka wapiNimechagua kubaki na mavi yng nyumbani.
JPM RIP alikosea sana kwenda kinyume na kanuni.Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa....
Kweli kabisa. Ukiwa Mkuu wa ngazi hiyo private is very minimal. Mimi ni mtumishi ujue. Najua wajibu wa wasaidizi wa Rais. Katika nchi zingine hawa wanastahili kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa uzembe huo Mkubwa. Huwezi kusema ajiamulie yeye kila kitu ambacho kingine ni hasara na hatari kwa Taifa.Private hiyo mkuu! Sijui km alikua nawashauri wazuri wa afya rais lazima afanjiwe annually check up nje au ndani! Angeenda hata south basi dah!
C ndo umetangazwa, Jana auUle mzigo unaosemekana ulishushwa airport kutoka ng'ambo haukuwa wa kawaida maana sio kwa umakini ule, mlioko airport Julius Nyerere ulikuwa ni mzigo gani?
Kwani yeye Samia sio CCM?Samia futilia mbali Uchaguzi wa serikali za Mitaa ili kuirudisha nchi kwenye mstari. Futa ubunge wa Covid-19 kupitia Chadema. Ondoa wakurugenzi , Ma-RAS, Ma-DAS wote ambao ni makada wa chama. Vyeo hivyo washike wataalamu ambao ni watumishi wa umma.
Ni CCM na Cheo chake ni cha Kisiasa. Tofautisha vyeo vya Kisiasa na vya utumishi wa umma.Kwani yeye Samia sio CCM?
Mzena ni Private?
Na watanzania tujifunze kuwa ukiwa kiongozi wa aina ya JPM RIP watakiwa kuwa umetengeneza JPM wengine kama watano hivi.Kuna watu kwa kutomuelewa mheshimiwa rais wetu mpendwa, hayati JPM, wameendelea kumpaka matope hata ktk umauti wake!...
Hapa kuna Magufuli, Mahiga, kijazi na mmoja nani boss
Ni hospital ya usalama wa TaifaMzena ni Private?