Mzena ni Hospitali ya nani?Mkuu, it was too late.
Hata MOI waliona hiyo (worse condition) ndo ikaamuliwa aende Mzena kwa final analysis.
Hata checkup ilikuwa too late.Chekup ni muhimu sana kwy maisha yetu kwa kweli
Hakika nchi ianze upya. Mtaani huku kilo kama kawaida na mambo hasi tu. Huwezi amini hakuna hata mmoja naona anasikitika.Utawala wa John Magufuli utakumbukwa kwa Uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, Ni utawala uliokuwa wa kikatili sana, ni utawala ulioshindwa kuleta umoja katika nchi, Utawala uliojifanya unajua kila kitu. Wajinga walikuwa wengi mnoo.
Mungu katuepusha na balaa la ulevi wa madaraka! Ccm wanatupuuza sana wananchi.Aongezewe muda, asipotaka tutamlazimisha..kumbe Sir God naye ana mipango yake
Utawala wa John Magufuli utakumbukwa kwa Uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, Ni utawala uliokuwa wa kikatili sana, ni utawala ulioshindwa kuleta umoja katika nchi, Utawala uliojifanya unajua kila kitu. Wajinga walikuwa wengi mnoo.
Ni hospitali ya kumbukumbu ya mzee Emilio Mzena ambae alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa kwanza wa TISS enzi ya Mwalimu Nyerere.Mzena ni Hospitali ya nani?
Watu kama hao wanaboa sana mzeeUbarikiwe mkuu kwa kumpa makavu huyu mjinga.
Hivi kweli kiongozi Mkubwa kabisa anatudanganya hadharani halafu leo wanatwambia alikuwa anaumwa! Hivi kuna kauli watakuja kutwambia tukawaamini?Walidanganya Watanzania. Badala wangesema ukweli ili aombewe. Yaani viongozi hadharani kusema uongo wakati inajulikana wazi alilazwa. I will never trust a politician.
Ni bora hata mama Samia alisema kukaguliwa kaguliwa lakini Majaliwa Kwa kweli huyu Baba anapwaya.Walidanganya Watanzania. Badala wangesema ukweli ili aombewe. Yaani viongozi hadharani kusema uongo wakati inajulikana wazi alilazwa. I will never trust a politician.
Wengine anaandika tu kiunafiki ila moyoni wanajua? Mtaani naona kuko kawaida tu mambo hadi hakuna hata masikitiko.Kumbe kuna watu wengine humu walikuwa wanamkubali Magu japo kimya kimya?!!!
Basi tuboreshe Hospitali za Umma.Ni hospitali ya kumbukumbu ya mzee Mzena ambae alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa kwanza wa TISS Enzi ya Nyerere (kama sikosei).
Hapo wanatibiwa maofisa wote na familia zao.
Wenye akili timamu wamenielewa, wapumbavu bado sana kuelewaNyinyi watu mna wazimu?
Utamwomnaje Magufuli ndani ya Samia kama huo sio wendawazimu!
ALIE SEMA UONGO ALIE SEMA UONGO tupo hapa! Hii sasa kuna watumishi wa mungu wanakufuru kwa sababu ya uongo wa watu wachache MLIFANYA UONGO NI MAZOEA mmetugharimu.Walidanganya Watanzania. Badala wangesema ukweli ili aombewe. Yaani viongozi hadharani kusema uongo wakati inajulikana wazi alilazwa. I will never trust a politician.
Magufuli nakuita, adui wa madhalimu,Hivi ningali naota, au kweli imetimu!
Haya yanayonipita, kwenye wangu ufahamu,
Jemedari amekata, hatunaye muadhamu!
Natamani iwe ndoto!
Duh.......!