TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Magufuli nakuita, adui wa madhalimu,
Rais ulojikita, kwa wanyonge binadamu,
Kipenzi cha "watafuta," nyoyoni mwetu udumu,
Tukuzidishie dua.
Pole sana. Ila huo ndiyo ukweli. Jitahidi kuishi kwa kutenda mema hapa duniani! Maana huijui kesho yako.
 
Ayajaisha ila yalipungua kwa kiasi kikubwa.
Uyo Mkulungwa wa kitaa alietesa watu baada ya bandarini kupigwa pini alipokua akiiba,alinywea akawa mdogo kama piriton,hana pesa za wizi tena.
"Kudadeki zake"
 
Kwa mema aliyofanya apewe heshima yake pia vurugu alilofanya lisiendelee🚶🚶
 
Hakika nchi ianze upya. Mtaani huku kilo kama kawaida na mambo hasi tu. Huwezi amini hakuna hata mmoja naona anasikitika.
Unataka njia mzima upishane na watu wakipiga ukunga kisa msiba? Vifo vingapi vimetokea na wananch wapo cool tuu.! Ww kutokuona watu wakisikitika haimaanishi hapendwi
 
Hivi jamani hakuna hata manabii au wachungaji wangemuombea akapona..Mungu ni muweza wa yote then why why why.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wako wapi wale waliokuwa wanatumwa kuja kuzisakama TANZIA za JF?
Tanzia kuu imewadia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…