HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
Wale waliosema raisi anaumwa na wakakamatwa hatima yao ni nn??? Me hata siwazi huu msiba ,was long coming.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe uko upande gani bwashee?Wewe kila upande upo
Pole sana. Ila huo ndiyo ukweli. Jitahidi kuishi kwa kutenda mema hapa duniani! Maana huijui kesho yako.Magufuli nakuita, adui wa madhalimu,
Rais ulojikita, kwa wanyonge binadamu,
Kipenzi cha "watafuta," nyoyoni mwetu udumu,
Tukuzidishie dua.
AmenRip JPM.
Ulidhubutu kudhibiti ufujaji pesa ya umma.
Tutakukumbuka.
😁 😁 😁 😁Wewe kila upande upo
Ayajaisha ila yalipungua kwa kiasi kikubwa.Kwanj hayo yameisha..?? Juzi kuna kijana kafanyiwa hivyo Moshi huko.. Fatilia visa wewe, unanijua mimi nani ni msemo tu hata muuza mahindi anaweza kujinasibu nao katika hali yakutafuta kumkalisha mtu
Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Wewe mwenyewe ni mnafiki tu.Na huo ndio ubinadamu. binafsi naweza mchukia mtu hata kumuona staki Lkn nikisikia amekufa naumia mno. Asipokufa akapata majanga ya hapa na pale naona sawa tu yaendelee kumpata.
Siwezi kabisa kuombea mtu afe
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Unataka njia mzima upishane na watu wakipiga ukunga kisa msiba? Vifo vingapi vimetokea na wananch wapo cool tuu.! Ww kutokuona watu wakisikitika haimaanishi hapendwiHakika nchi ianze upya. Mtaani huku kilo kama kawaida na mambo hasi tu. Huwezi amini hakuna hata mmoja naona anasikitika.
Tupo kwenye msiba isijeonekana unamkejeli marehemu ngoja tumalize maziko turudi kwenye maisha yetu ya kila siku tuanze kufukua makaburi.Kumbe kuna watu wengine humu walikuwa wanamkubali Magu japo kimya kimya?!!!
Go huko kapasua tena,,,nenda ukasomeDuh.......!
Ni kweliWewe mwenyewe ni mnafiki tu.
Nipe kwa kifupi bwashee!Kigo
go huko kapasua tena,,,nenda ukasome
Kwani CCM hamkuombaHaya Chadema furahieni sasa mliyoyaomba yamejibiwa
Sasa tumejua yuwapiNipe kwa kifupi bwashee!