TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Hatari sn
 
Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk
Acha uvuvi kwa mkapa hukuenda Job?
 
Da ni hatari sn
 
Umezaliwa mwaka gani?
 
May
 
Kwa akili hizi ndio maaana wengine wanafurahia msiba, tunahitaji kutoa chuki hizi zilizoletwa kipind hiki cha miaka 5. Chuki ni kubwa sana.
kila mtu ashinde mechi zake.

Wewe furahia msiba.Munda ukifika utamuelewa jpm alikuwa ana nia gani na wewe.
 
Mzee ameonyesha njia kama tunaweza....
Hakika hakukubali kushindwa
Ama kuhusu mapungufu...ni sehemu ya Binaadam

Katika sisi,hakuna aliekamilika
 
Pumzika kwa Amani ya Bwana Mheshimiwa Dokta John Pombe Joseph Magufuli. Msalimie sana Balozi Injia John William Kijazi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…