TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Pumzika kwa Amani ya Bwana Mheshimiwa Dokta John Pombe Joseph Magufuli. Msalimie sana Balozi Injia John William Kijazi.
Kama huko kuna kuonana balozi Kijazi atashangaa sana how soon it was to be followed by his boss.
 
Mkulu alipambana kwa nafasi yake na maono yake,,, tujipe muda tuone kitachoendelea
 
Lengo la kumpeleka mzena lilikua ni usiri tu maana kwa pale ndio kulikua na asilimia kubwa kutunza siri juu ya maradhi yake kuliko muhimbili maana mzena ni ya TISS ile. Nje ya box sasa kulikua na umuhimu gani kumpeleka huko halafu kuwa chini ya jopo la madaktari wa Jakaya kwann wasimpeleke huko huko? Sijui tunaelekea wapi maana ilinenwa mficha maradhi kifo ndio kimuumbuacho.
 
Tenda mema ishi na watu vizuri mche Mungu acha kulilia marehemu ililie nafsi yako na wanaokuzunguka kwamba saa ikifika watakutwa katika mazingira gani

Haya Mzee.! Hongera yako wewe ambaye hujaguswa na musiba huu. Hatufanani, Ndio maana wewe hujaumia ila mimi nimeumia so Kausha na fanya yako kama unakunywa Bia au whisky endele kufurahia.
 
Msiba wa John Pombe Magufuli umewagusa wengi na hapa chini ni kilio cha wasanii wa bongo fleva.

.https://www.instagram.com/reel/CMjJClGnG12/?igshid=q1h0q623g8rp
 
Wapendwa kuna haja ya kumshukuru Mungu kwa kutubarikia uongozi wenye upendo wa nchi wananchi wake uliokuwa chini ya jemedari mkuu JPM! Let celebrate his legacy! RIP our beloved president!
 
Wapendwa kuna haja ya kumshukuru Mungu kwa kutubarikia uongozi wenye upendo wa nchi wananchi wake uliokuwa chini ya jemedari mkuu JPM! Let celebrate his legacy! RIP our beloved president!
AMINA
 
Death has robbed us of a selfless and courageous Leader. God giveth and God taketh. Rest In Power JPM.
 
Tutaelewana tu, ni suala la muda!! watu walioishi kwa kulamba miguu kazi mnayo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom