Kama huko kuna kuonana balozi Kijazi atashangaa sana how soon it was to be followed by his boss.Pumzika kwa Amani ya Bwana Mheshimiwa Dokta John Pombe Joseph Magufuli. Msalimie sana Balozi Injia John William Kijazi.
Mwanadamu ni mavumbi na mavumbini lazima atarudi.
Hivyo kujifungia ndani hakutabadili kitu muhimu ni kumuombea rehema Magufuli!
Dahh!! sipati picha huo mzigo Bill Gates atakaouacha hapo pembeni..atajaza mafuso sio hayo ma-plastic
Hakuna cha kushangaa when the right time come no one can stand against aende wakakutane na ben saanane amjibu kwanini alimuondoa!!!!Kama huko kuna kuonana balozi Kijazi atashangaa sana how soon it was to be followed by his boss.
Alioñgea kinyume na hiki anachoandika hapaAlisemaje?
Tenda mema ishi na watu vizuri mche Mungu acha kulilia marehemu ililie nafsi yako na wanaokuzunguka kwamba saa ikifika watakutwa katika mazingira gani
AMINAWapendwa kuna haja ya kumshukuru Mungu kwa kutubarikia uongozi wenye upendo wa nchi wananchi wake uliokuwa chini ya jemedari mkuu JPM! Let celebrate his legacy! RIP our beloved president!
Wanalia hamna wa kuwapa kofia tena🚶🚶