In memory mkuu siku Kama yaleo itakumbukwa daima
Waliokuwa wanamuiga kutokuvaa mask. Jamani akili mkichwa.
Mdharau mwiba...Corona,low oxygen then the heart is not well oxygeneted. What do you expect ?
Sio huyu mwamba, nilijua umuhimu wake tangu akiwa ujenziSisi binadamu, huwa tunajua umuhimu wa mtu pale aondokapo.
Unajua dada kuna mda mwingine sijui kichwani kuna loose nati labda!Waliokuwa wanamuiga kutokuvaa mask. Jamani akili mkichwa.