TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
giphy.gif
In memory mkuu siku Kama yaleo itakumbukwa daima

QUOTE yako muhimu mkuu.
 
Waliokuwa wanamuiga kutokuvaa mask. Jamani akili mkichwa.
Unajua dada kuna mda mwingine sijui kichwani kuna loose nati labda!

Makamu wa Rais katangaza kuwa alikuwa na matatizo ya moyo takribani miaka kumi iliyopita na ndo gonjwa lililomtoa uhai lakini wewe umekomaa na Corona kwani vipi Dada mbona hivyo tulia basi!
 
Mungu ampe pumnziko la milele.Tutakukumbuka kwa uthubutu wako kuleta mapinduzi ya miundombinu.
Pole Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom