Ikishakuwa ni busara basi ni busara. Unatumia vigezo vyako unaamua. Mfano, huyu alichoiba anacho, nikimfunga atakoma yeye na familia yake na hela alizoiba hazitarudi ila nikimnyang'anya alichoiba nitakuwa nimefaidika na yeye atajibeba; huyu alichoniibia kaishakula, namfukuza ili asiendelee kuniibia. Uamuzi wowote una madhara ila binafsi siamini kama kuwabakiza au kuwafukuza kisha uwalipe walicholimbikiza katika mazingira ya udanganyifu ilikuwa busara madhara yake yalishuka chini mpaka kwangu. Hilo zoezi JK alijaribu kulifanya miaka ya 2007, 2008 hivi lakini liliondoa vidagaa tu. Kwetu waliondoka masekretari. Ninaamini alishindwa kulisimamia na si kwamba alitumia busara japo anazo.NANDERA Busara ni muhimu au hutumika katika maamuzi ambayo yataleta madhara makubwa!!
Kwahiyo DPP kuwatoa wezi,wabakaji ,wahujumu uchumi kwa kukaa nao mezani ni halali au
Marehemu hasemwi vibaya kwa mila za Kiafrika.Wanadamu ni wanafiki sana leo natafuta comment zenu sizioni.
Ila ndivyo ilivyo vitu vyema havidumu Mungu amlaze pema peponi.
Hakika rais Magufuli alikuwa mtu wa Mungu binafsi namfananisha na Mussa aliyetumwa kuwapeleka watanzania kwenye nchi ya matunda ,maziwa na asali.
Naamini Mungu hatatuacha wapweke bali atatuletea Joshua ambaye atatufikisha Tanzania kwenye nchi ya ahadi.
Amen!
Kila siku naweka point hapa, wewe tu huzikubali.Leo umeongea point..leo
Kitu gani?Mimi niko kwenye maombolezo mpaka Saa 6 using ndo ntagusa kitu
Hypocrisy will kill you one day!Dah.....sjaenda job leo..sjatoka nje..ndo nataka nitoke hapa nikapate hta kilevi nirud nilale
Sitak kuamin kifo cha mzee huyu kimenigusa kias hiki.daah
Mim huwa sitoi choz kizembe ila jana leo nmeshangaa sana...
Kiukwel nmeamin "he was a great man"
Niishie hapo...nadhan nijipe off kidogo na jf kwa miez kadhaa...
Stak witness arguments chafu za kumuhusu mzee .
RIP john pombe.
See you june guys.
Utawaweza watanzania wew unafiki umetukaa sana kwenye akili zetu no wonder hata viongozi wetu are the same period!!!!!!Unafiki utakuua bure
Sifanyi kazi yoyote kwanzaKitu gani?
Sababu ni kiongozi wa kitaifa bila shaka angepelekwa ili kutoa fursa kwa watanzania wengi kumuaga.Samahani nje ya mada japo sio mbali.
Hivi kama kifo kingemkuta jpm akiwa chato, mwili ungepelekwa dar kwa ajili ya kuagwa au ingekuaje?