mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Hivi wewe huo muda unaupata wapi?Mlisha ambiwa mtumie muda wenu kuchapa kaaziiiIkumbukwe kuwa JPM alikuwa kipenzi cha watu wa hali ya chini ambao ndio wengi katika nchi hii.
Tutegemee uwanja atakapoagwa utajaa sana na patakuwa hapatoshi kama wataamua aagwe siku moja tu!
Ombi langu ni kupata muda wa kumuaga hata kwa siku tatu kabla ya kwenda huko Chato!
Hii itasaidia sana kupunguza misongamano na watu kukanyagana na itasaidia watu kupata muda muafaka kuaga.
Ingetegemea pia ni ugonjwa ganiSababu ni kiongozi wa kitaifa bila shaka angepelekwa ili kutoa fursa kwa watanzania wengi kumuaga.
Zile fedha zao mafao ni zao mkuu wamezitumikia hata kama umemfukuza.Ikishakuwa ni busara basi ni busara. Unatumia vigezo vyako unaamua. Mfano, huyu alichoiba anacho, nikimfunga atakoma yeye na familia yake na hela alizoiba hazitarudi ila nikimnyang'anya alichoiba nitakuwa nimefaidika na yeye atajibeba; huyu alichoniibia kaishakula, namfukuza ili asiendelee kuniibia..
Nje gani ulipo Taga,hapo kwa Mtogole ndio nje?Wewe unavyo zani nikwanini hawakutangaza magufuli kalazwa hospital tumia hata 10% ya akili yako ngozi nyeupe siyo watu mimi nawajua ninaishi nao hata muda huu niko nje ya inchi nafahamu hata baadhi ya siri nyingi walizo nazo
Samahani nje ya mada japo sio mbali.
Hivi kama kifo kingemkuta JPM akiwa Chato, mwili ungepelekwa Dar kwa ajili ya kuagwa au ingekuaje?
Yaani usamehe mabaya uenzi mazuri?huu ni unafiki mkubwa sana.Of course time heals everything. Mabaya yake tutasamehe na mazuri yake tutayaenzi.
We will tell our kids the story of his life and let them have their own opinions.
Sio Dodoma tena?kweli Mataga mpo vizuri kwa unafiki.Dar wangeuleta tu,,,Dar ndo Tanzania ilipo
Kama jiwe anawezakuwa Mungu wetu,basi tutapata Mungu mwingine na tutaendelea na maisha kama kawaida.Nyie mlivyokuwa na akili za kuku mkamfanya jiwe ndio mungu wenu.
Unafiki ndiyo unao waingizia mkate wao wa kila siku.Sio Dodoma tena?kweli Mataga mpo vizuri kwa unafiki.
Upo sahihi sanaWaliokuwa wanamwelewa Jpm ni wachache sana, hata kwenye kuaga watakuwa wachache, nahisi hivyo.
Sio Dodoma tena?kweli Mataga mpo vizuri kwa unafiki.
Lazima.Samahani nje ya mada japo sio mbali.
Hivi kama kifo kingemkuta JPM akiwa Chato, mwili ungepelekwa Dar kwa ajili ya kuagwa au ingekuaje?
Kwanza atuambie izo siri za wazunguNje gani ulipo Taga,hapo kwa Mtogole ndio nje?
Nyie ndo mnao abudu waarabu na wazungu mtumwa wa mtu mweupeNje gani ulipo Taga,hapo kwa Mtogole ndio nje?
Kutafulika sana na itabaki history duniani. Leo nimeshuudia watu wanalia mitaani wanamlilia kipenzi chaoYaani mtu upoteze muda wako kwenda kumuaga Sadist? Labda uwe unaenda kuhakikisha kafunga mdomo au hajafunga maana ule mdomo ulikuwa si mzuri.
Aah wapi, kila mtu ashinde mech zake kama ulivyosema. Kwangu mimi ni mtu mkatili na sadist kuwah kutokea ktk nchi hii.kila mtu ashinde mechi zake.
Wewe furahia msiba.Munda ukifika utamuelewa jpm alikuwa ana nia gani na wewe.