Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 253
- 166
si lazima ukubali kwa sauti siku ikifika.Aah wapi, kila mtu ashinde mech zake kama ulivyosema. Kwangu mimi ni mtu mkatili na sadist kuwah kutokea ktk nchi hii.
Mkuu pitia history ya Gadaff hakuwa mtu mzuri kama unavyodhani yeye pia kauwa watu wengi kama jiweHata Gadaff walimuita Dictator na wakamjuwa bila hatia
ndio lazma wangemletaSamahani nje ya mada japo sio mbali.
Hivi kama kifo kingemkuta JPM akiwa Chato, mwili ungepelekwa Dar kwa ajili ya kuagwa au ingekuaje?
Tugange yajayo, huyo ameshakuwa past now.si lazima ukubali kwa sauti siku ikifika.
Mzungu kabla ajaleta tatizo kubwa huwa analiandaa kwanza kwenye fikra ya mtu ndivyo alivyo fanya libya Gadaff alikua si muuwaji wa rais wema wale walikuwa ni waasi waliotumiwa na mtu mweupe ilikushambulia serikali ya libya ndo likatengenezwa wazo lakuwa alikuwa muuajiMkuu pitia history ya Gadaff hakuwa mtu mzuri kama unavyodhani yeye pia kauwa watu wengi kama jiwe
wengi wataenda kudhibitisha kweli kaendaIkumbukwe kuwa JPM alikuwa kipenzi cha watu wa hali ya chini ambao ndio wengi katika nchi hii.
Tutegemee uwanja atakapoagwa utajaa sana na patakuwa hapatoshi kama wataamua aagwe siku moja tu!
Ombi langu ni kupata muda wa kumuaga hata kwa siku tatu kabla ya kwenda huko Chato!
Hii itasaidia sana kupunguza misongamano na watu kukanyagana na itasaidia watu kupata muda muafaka kuaga.
Ungepelekwa Lugalo kuhifadhiwaSamahani nje ya mada japo sio mbali.
Hivi kama kifo kingemkuta JPM akiwa Chato, mwili ungepelekwa Dar kwa ajili ya kuagwa au ingekuaje?
Unaweza sana kejeli?1. Wataanza kutoa ajira tena km awamu zilizopita?
2. Nyongeza ya mshahara itakuwepo?
Ukiongozwa na chuki kutoa maoni ndo hali kama hii ya kutoa majibu bila kutafakari inakukuta. Masuala ya kuwa au kutokua kipenzi changu nimeyazungumzia wapi?alikuwa kipenzi chako tu, Mungu haongwi ukuu wa wilaya
Mkuu wale hawakuwa waasi walikuwa magaidi na yeye ndo alikuwa mfadhiri wao,Mzungu kabla ajaleta tatizo kubwa huwa analiandaa kwanza kwenye fikra ya mtu ndivyo alivyo fanya libya Gadaff alikua si muuwaji wa rais wema wale walikuwa ni waasi waliotumiwa na mtu mweupe ilikushambulia serikali ya libya ndo likatengenezwa wazo lakuwa alikuwa muuaji
Angekuwa anapendwa kiasi hicho kilikuwa na haja gani ya kuleta kura za kwenye mabegi?Ikumbukwe kuwa JPM alikuwa kipenzi cha watu wa hali ya chini ambao ndio wengi katika nchi hii.
Tutegemee uwanja atakapoagwa utajaa sana na patakuwa hapatoshi kama wataamua aagwe siku moja tu!
Ombi langu ni kupata muda wa kumuaga hata kwa siku tatu kabla ya kwenda huko Chato!
Hii itasaidia sana kupunguza misongamano na watu kukanyagana na itasaidia watu kupata muda muafaka kuaga.
Sasa na rais wetu naye wazungu wamem snitch kwa kumuuaMkuu wale hawakuwa waasi walikuwa magaidi na yeye ndo alikuwa mfadhiri wao,
Na kilichofanya wamgeuke alianza kuwa SNITCH kwa wamarekani. Marekani na wenyewe waka msnitch kwa magaidi ili wamalizani wao kwa wao,
Note: Gadaff alianza kujiita muafrika baada ya waarabu wenzie kumtenga waliposikia kawa SNITCH wa marekani
Sheria ya mazishi ya viongozi inautambua uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuwa ndio sehemu kiongozi yeyote anayekufa aagiwe paleWawakumbushe watu kuvaa barakoa ikiwezekana zigawiwe kwa kila atakayekuwa hana uwezo wa kununua.