Umeandika mengi lakini mimi nitakuuliza haya mawili tu Mji wa Nazareth na kifo cha Yesu.
Tuanzie na mji wa Nazareth
1. Umeandika Yesu wa Nazareth , Jee unaelewa kuwa huo mji haujakuwepo ulimwenguni , ni theology ndio iliyoubuni ??
The Gospels tell us that Jesus's home town was the 'City of Nazareth' ('polis Natzoree'):
The gospels do not tell us much about this 'city' – it has a synagogue, it can scare up a hostile crowd (prompting Jesus C'hrist,s famous "prophet rejected in his own land" quote), and it has a precipice – but the city status of Nazareth is clearly established, at least according to that source of nonsense called the Bible.
However when we look for historical confirmation of this hometown of a god – surprise, surprise! – no other source confirms that the place even existed in the 1st century AD.
Maswali haya yanaulizwa na wale wanaofikiri Biblia inasomwa kama Novel. Huwezi kuielewa Biblia kwa kusoma huku ukiwa hujaomba mafunuo kutoka kwa Mungu kupitia Roho Mtakatifu.
Biblia ni Neno la Mungu. Mungu ni Neno na ndiye Bwana Yesu. Kwa kupitia Neno/ Bwana Yesu vitu vyote viliumbwa kwa huyo. Yohana1
Mungu wa Wakristo ana nafsi Tatu. Nafsi ya Ubaba/ Uwana na Roho Mtakatifu.
Na nafsi hizi zote zimejidhihirisha kwa wanadamu kupitia mambo mbalimbali.
Nafsi ya uwana ilikuja duniani kupitia kuzaliwa na Bikira Mariam. Mungu akaishi duniani na wanadamu akiwa kauvaa mwili wa uwanadamu. Ndio hiyo Emanuel yaani Mungu pamoja nasi.
Roho Mtakatifu/Roho wa Mungu moja ya umbo alilojidhihirisha nalo ni la huwa/ njiwa aliposhuka na akatua mabegani mwa Bwana Yesu alipo Batizwa pale Yordan.. Yesu alipoondoka na kupaa kurudi Mbinguni siku hamsini baadaye alituletea Roho Mtakatifu. Msaidizi wetu wa karibu anaishi ndani ya kila aliyebatizwa
na hujidhihirisha kwa kila aishiye sawasawa na mapenzi ya Mungu
Lakini nafsi tatu za Mungu zilijidhihirisha katika uumbaji. Mwanzo 1. "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu." Uwingi wa nafsi. Roho wa Mungu aliatamia juu ya kilindi cha maji. Udhihirisho wa Roho Mtakatifu.
Watu watatu walimtembelea Ibrahim. Nafsi tatu za Mungu zikiwa zimevaa miili ya binadamu. Unaona hata maongezi yao na Ibrahim yanavyo badilika. Mara Bwana, "akasema ni mfiche kitu ninacho enda kuitendea Sodoma Ibrahim ikiwa...
Bwana Mungu alimtokea Musa kama Moto uwakao kichakani mlimani Sinai. Alimtokea Joshua kama Malaika Kamanda Mkuu wa Geshi la Mbinguni. Kama wingu kuonesha uwepo wa Mungu katika ile hema ya kukutania.
Mambo ya Yesu yako kwa kutabiriwa tangu Mwanzo. Manabii wengi walitabiri juu yake. Musa mmoja wapo alitabiri kuja kwa huyu Mkombozi wa ulimwengu.
Mungu wa Wakristo ni Roho. Nao wamuaminio humuamini katika Roho na Kweli. Ili umuelewe kwa ukamilifu wake lazima uwe wa Kiroho.
Sishangai wewe kuja na hoja zako hizi za kimwili katika mambo ya Kiroho na ni ngumu kukusaidia.
Unless umeacha kushupaza shingo na ukapata Neema ya Mungu na kukata shauri kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, ukatubu na kubatwiza.
Otherwise maadamu tuna kubaliana wote siku ya kiama Yesu ndiye atakuwa kashika Rungu la hukumu/ kwake yeye kila goti litapigwa kuanzia Adam na wale wote walimfuatia uwe na uhakika kama hukumpokea atakuambia, "ondoka hapa sikujui wewe" Hamna namna nyengine
Its so so sad kuliko hii huzuni ya JPM, kujua kuwa Billions ya watu ulimwenguni pamoja na bidii na mahangaiko yao yote ya kumtafuta Mungu hawajui wanatumia njia zisizo sahihi na wamekwisha kupotea na jehanamu inawasubiria