TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Unajuaje kama walikuwa waongo?

Na ipi ilikuwa sababu ya uongo wao?
Kassim Majaaliwa alisema Raisi ni mzima na ameongea naye , kwavile alikuwa na ziara nyingi sasa yuko ndani anafanya kazi za kiofisi, au wewe hukumsikia alipokuwa anatoa salamu za raisi?
 
Ina maana nchi hii inanini na maraisi wakristo hakuna hata mmoja... Bora kutembea kwenye namba SHUFWA katika awamu za uraisi .. Witiri na tasa yamkini zina gundu
Imebidi nicheke tuu[emoji848]
 
Kassim Majaaliwa alisema Raisi ni mzima na ameongea naye , kwavile alikuwa na ziara nyingi sasa yuko ndani anafanya kazi za kiofisi, au wewe hukumsikia alipokuwa anatoa salamu za raisi?
kassim majaliwa amatoa kauli hiyo lini??

na magufuli amefariki lini??
 
Lakini pia kaacha somo kubwa kwamba "kumbe inawezekana". Kama tukirudi nyuma baada ya kutuonyesha njia, nitaamini kwamba kuna kilaana fulani kipo nyuma ya mtu mweusi.
Ni kweli kabisa. Licha ya mapungufu aliyokuwa nayo kama kiongozi mwingine yeyote aliifanya Afrika ijiamini na iamini kwamba kama tukithubutu tunaweza kupindua meza "kibabe"
 
Never liked the guy but at least I know understand why he never liked to be questioned. Rest in peace MR. President. You loved Tanzania in your own way. Different from the masses. You miscalculated some and managed well some. You ain't perfect. You are a human being. Rest easy sir.
 
Jamani look at the clip where he said walimpa sumu na akapona sasa wameweza. I feel bad for someone to be killed like that. Alikuwa amekata mirija ya corruption. Tanzania tumerudi kubaya tena. SaD story.
Nimekuelewa mkuu
 
so sad,pumzika kwa amani mzee wetu,mwenyezi mungu akupe pumziko la amani,natoa pole kwa watanzania wote,familia ya mzee wetu ,mama janeti na watoto wa mzee wetu.
 
Umeandika mengi lakini mimi nitakuuliza haya mawili tu Mji wa Nazareth na kifo cha Yesu.

Tuanzie na mji wa Nazareth

1. Umeandika Yesu wa Nazareth , Jee unaelewa kuwa huo mji haujakuwepo ulimwenguni , ni theology ndio iliyoubuni ??



The Gospels tell us that Jesus's home town was the 'City of Nazareth' ('polis Natzoree'):





The gospels do not tell us much about this 'city' – it has a synagogue, it can scare up a hostile crowd (prompting Jesus C'hrist,s famous "prophet rejected in his own land" quote), and it has a precipice – but the city status of Nazareth is clearly established, at least according to that source of nonsense called the Bible.


However when we look for historical confirmation of this hometown of a god – surprise, surprise! – no other source confirms that the place even existed in the 1st century AD.

Maswali haya yanaulizwa na wale wanaofikiri Biblia inasomwa kama Novel. Huwezi kuielewa Biblia kwa kusoma huku ukiwa hujaomba mafunuo kutoka kwa Mungu kupitia Roho Mtakatifu.

Biblia ni Neno la Mungu. Mungu ni Neno na ndiye Bwana Yesu. Kwa kupitia Neno/ Bwana Yesu vitu vyote viliumbwa kwa huyo. Yohana1

Mungu wa Wakristo ana nafsi Tatu. Nafsi ya Ubaba/ Uwana na Roho Mtakatifu.

Na nafsi hizi zote zimejidhihirisha kwa wanadamu kupitia mambo mbalimbali.

Nafsi ya uwana ilikuja duniani kupitia kuzaliwa na Bikira Mariam. Mungu akaishi duniani na wanadamu akiwa kauvaa mwili wa uwanadamu. Ndio hiyo Emanuel yaani Mungu pamoja nasi.

Roho Mtakatifu/Roho wa Mungu moja ya umbo alilojidhihirisha nalo ni la huwa/ njiwa aliposhuka na akatua mabegani mwa Bwana Yesu alipo Batizwa pale Yordan.. Yesu alipoondoka na kupaa kurudi Mbinguni siku hamsini baadaye alituletea Roho Mtakatifu. Msaidizi wetu wa karibu anaishi ndani ya kila aliyebatizwa
na hujidhihirisha kwa kila aishiye sawasawa na mapenzi ya Mungu

Lakini nafsi tatu za Mungu zilijidhihirisha katika uumbaji. Mwanzo 1. "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu." Uwingi wa nafsi. Roho wa Mungu aliatamia juu ya kilindi cha maji. Udhihirisho wa Roho Mtakatifu.

Watu watatu walimtembelea Ibrahim. Nafsi tatu za Mungu zikiwa zimevaa miili ya binadamu. Unaona hata maongezi yao na Ibrahim yanavyo badilika. Mara Bwana, "akasema ni mfiche kitu ninacho enda kuitendea Sodoma Ibrahim ikiwa...

Bwana Mungu alimtokea Musa kama Moto uwakao kichakani mlimani Sinai. Alimtokea Joshua kama Malaika Kamanda Mkuu wa Geshi la Mbinguni. Kama wingu kuonesha uwepo wa Mungu katika ile hema ya kukutania.

Mambo ya Yesu yako kwa kutabiriwa tangu Mwanzo. Manabii wengi walitabiri juu yake. Musa mmoja wapo alitabiri kuja kwa huyu Mkombozi wa ulimwengu.
Mungu wa Wakristo ni Roho. Nao wamuaminio humuamini katika Roho na Kweli. Ili umuelewe kwa ukamilifu wake lazima uwe wa Kiroho.

Sishangai wewe kuja na hoja zako hizi za kimwili katika mambo ya Kiroho na ni ngumu kukusaidia.

Unless umeacha kushupaza shingo na ukapata Neema ya Mungu na kukata shauri kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, ukatubu na kubatwiza.

Otherwise maadamu tuna kubaliana wote siku ya kiama Yesu ndiye atakuwa kashika Rungu la hukumu/ kwake yeye kila goti litapigwa kuanzia Adam na wale wote walimfuatia uwe na uhakika kama hukumpokea atakuambia, "ondoka hapa sikujui wewe" Hamna namna nyengine

Its so so sad kuliko hii huzuni ya JPM, kujua kuwa Billions ya watu ulimwenguni pamoja na bidii na mahangaiko yao yote ya kumtafuta Mungu hawajui wanatumia njia zisizo sahihi na wamekwisha kupotea na jehanamu inawasubiria
 
JPM had a huge vision for his country, now walaji wamemuua. These people should be locked up! Eti heart problems, the guy was so fit, he looked Like a 25 year old man.

Angalia hiyo miradi mikubwa itakavyosimama. They have been planning how to divide the massive cake among themselves.

It is possible he died 2 weeks ago! Tell us the truth you corrupt leaders.

he had heart problems toka mda mrefu sana
 
“Maraisi wastaafu na walio hai, prime minister nk wote waislam ila wakristo wamtulia ingekua viceversa jamaa kesho wangeandama”Alisikika mlevi mmoja ivi.
 
Mbona alikuwa na convyoy ya madaktari na gari Maalum la kumlinda kiafya? Wakati mwingine watu wanafanya majukumu kwa kuangalia mwelekeo wa boss. Na kuogopa kuwa critical maana ukiwa hivyo kesho kazi huna. Alishasema hadharani kuwa "Mimi sipingwi"

Amevuna alichopanda. No regret.
Bwana asipoulinda mji wake wakeshao wanafanya kazi bure. - kuna mahali imeandikwa
 
R.I.P KIONGOZI shupavu, pamoja na miongozo iliyopo ya urais ila ulijaribu kutumia utashi na ujasiri uliokua nao ili kuweka mambo sawa, ulijitoa kwenye urais na ukawa kama mwananchi wa kawaida asiyependa majivuno

Sijui kama flyover moroco, kilwa road kuelekea mbagara itajengwa hakika viatu vya nyerere vilikufiti.
 
Naomba kuwauliza wana JF sina pa kuuilizia mie hivi ''Huyu Marehehmu alipata Muda wa Kutubu kweli?? au kuongea mambo mawili matatu na Malaika Gabriel??'' naomba jibu ili niwape aliyo paswa kuwa...
Haya bhana ila haya maisha tu.
 
Maswali haya yanaulizwa na wale wanaofikiri Biblia inasomwa kama Novel. Huwezi kuielewa Biblia kwa kusoma huku ukiwa hujaomba mafunuo kutoka kwa Mungu kupitia Roho Mtakatifu...
Unaongelea biblia ipi? Ya RSV, NIV, Queen James Version, King James Version au maelfu ya biblia tofauti?
 
Unaongelea biblia ipi? Ya RSV, NIV, Queen James Version, King James Version au maelfu ya biblia tofauti?

Zote ni Neno la Mung mkuu Gavana. Bwana Yesu hujifunua kwa jinsi na namna zote za mapenzi yake atakavyo ya timizwe. Kwa nini Biblia ziko kwa lugha nyingi? Mungu anataka kweli yake iwafikie wote. Shetani hataki kweli iwafikie wanadamu maana watamjua na watampinga na kumkimbia kuelekea mahali salama kwa ajili ya kuponya nafsi zao. Hii ya'kumpinga itakuwa ni kupitia kweli walio ijua kuhusu shetani na kuona kwamba anawalisha tango mwitu. Atatumia akili gani kuweka vikwazo hivi? Viko vingi ikiwemo na lugha. Ili achague mawakala wake wachache waijue lugha waendelee kuwalaghai walio wengi.

Mfano mzuri ni siku ile Roho Mtakatifu aliposhuka kutoka mbinguni. Inaitwa siku ya Pentekosti"50days" baada ya Yesu kutoka kaburini na kuishinda mauti/kifo na kaburi. "10days" baada ya Yesu kupaa na kuelekeacMbinguni. Roho Mtakatifu alishukia wanafunzi wa Yesu waliokutana kuabudu siku ile. (Matendo ya Mitume sura 2. Soma tafadhali, pengine utapato Neema ya Mungu uone huu ukweli unaopotoshwa). Uone ujasiri wa Petro aloupata baada ya kumpokea Roho Mtakatifu. Hakuwa tena yule Petro aliye mkana Bwana Yesu mara tatu. Alikuwa akijibishanavna kuwa shuhudia wanao weza kumchinja ama kumtundika kichwa chini miguu juu na kumuua.

Mipango ya Mungu siku zote ndivyo inavyoenda kwa upako wake. Kumbuka kipindi hicho walikuwepo watu kutoka pande zote za dunia wakiwa wamepanda Yerusalemi kuazimisha moja ya ibada iambatanayo na sherehe ya maashimisho ya dini ya Kiyahudi.

Gess what happened. Roho wa Mungu/ Mtakatifu aliwashukia kama Bwana Yesu alivyo wa ahidi na kuwa amuru wasubirie mpaka hapo atakapowashushia kutoka mbinguni Roho Mtakatifu. Ishara ya Roho ilikuwa na kwa kuonekana alama ya ndimi za moto angani na kuwaingi neno zuri kuwajaza wale wanafunzi walio kusanyika na walimanifesti kwa kunena kwa lugha za mataifa yote ya wale waliokuwa wakiwashuhudia.

Na walinena si maneno tu, bali walishudia Matendo Makuu ya Mungu wa Mbinguni aliyoyatenda kupitia Bwana Yesu. Unajua kwa nini muujiza ule ishara za ndimi za moto angani? Baada ya ibada ile wale walio kusanyika Yerusalemi kipindi kile walirudi huko walikotokea duniani kote kuanza kuihubiri Injili kwa kushudia walichokiona na kusikia kupitia karama ya kuneba kwa lugha ya Roho Mtakatifu. Neno la Mung lokarneo ulimwenguni kote kama vile moto usambaovyo nyikani. Mungu ni Neno la Uzima na tena ni Moto ulao., Upanga/ Jambia likatalo kuwili.

Hii ina kupa picha gani? Injili lazima iwafikiwe wote kwa namna ambayo Mungu anataka. Kabla ya siku ya mwisho wa dunia /kiama. Hii haiji mpaka Injili imehubiriwa pote duniani. Ili wa kudharau waseme tunao hubiri tumelewa mvinyo mpya tena asubuhi.

Hii uliyoleta hapa ni hoja tena ya wale ambao wengi wao hudanganywa na shetani kuwa Roho Mtakatifu ni nabii/ mtume flani . Ni uongo kwa mujibu wa imani ya Kikristo lakini. Ni uongo mweupe na bahati mbaya sana Biblia inatumiwa kama kilelezo chacl kujengea hoja. Kwanza hawana Roho Mtakatifu wa kuwasaidia kujua kwa ukamilifu kilicho kwenye Biblia. Kwa maana hiyo shetani ndiye huwasaidia kuijua nusu kweli ama robo na nusu ya ukweli wa Kibliia. Ili awatumie kuwapeleka jehanamu woa na watu watakao kuwa wame wadanganya.

Hivyo ni wito baada ya kuelewa haya basi Biblia na isitumike kuutetea huo uongo Waachwe watu waelewe na wakusaidika asidike aepushwe na Jehanamu lile tanuri la moto wa kuzimu usio zimika milele yote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom