TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Zote ni Neno la Mung mkuu Gavana. Bwana Yesu hujifunua kwa jinsi na namna zote za mapenzi yake atakavyo ya timizwe. Kwa nini Biblia ziko kwa lugha nyingi? Mungu anataka kweli yake iwafikie wote...
Kwa hivyo unaamini Queen James Version ni neno la mungu pamoja na Satanic Bible pia ni neno la mungu
 


Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume.


Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).

Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.

Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.

Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”

Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu isipokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”

Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.

Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86;

Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76;

Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73;

na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66, likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ),

American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.

Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:

(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”

(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”

Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yenu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu ”

Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS).

Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.

Hata hivyo, kutokana na nkuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):

"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
 
Mama ntilie na machinga watakukumbuka sana kwa uhuru uliowaachia.
 
Hadi Sasa siamini nini hatima ya Tanzania.

Wacha niendelee kumuombea tu Samia asije akaangukia mikononi mwa Manyang'au..wakafanya biashara pale ikulu.
 
Poleni watanzania!
Tupo karibu kuifikia nchi ya ahadi.
Musa aliwavusha wayahudi lakini haikuwezekana kwa yeye kuiona/kuifika nchi ya Ahadi...lakini hatimae wayahudi walifika nchi ya ahadi.

stay calm...safari ipo ukingoni.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli!
 
Umenena vyema
 
Pole na wiki nzito

Jana nimecheka sana baada ya kumsikia Mwanamuziki mmoja aitwaye Afande Rasta.

Hivi afande, huyo Mungu unayemtukana, wakati akimuumba jpm ulikuwepo? Je wewe ndiye uliyemuambia amuumbe JPM? Kama sio, iweje umtukane Mungu akiwa kwenye majukumu yake?

Ulitaka ufe wewe au afe nani?

Acheni tabia ya kujipendekeza kwa marehemu mkadhani mtapata sifa yeyote, haya mimi sipo
 
Wengi wa wayahudi walikufa njiani kwa sababu ya ukaidi, walioingia walikuwa kizazi kipya.
 
Mbona bangi tunavuta lakin atufikii huko mimi nadhani Huyu mwamba atakuwa na tatizo kidogo kwenye akili yake tusisemee tu bangi..bangi ni chakula safi kabisa tusiichafue kitulizo changu cha akili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…