Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hivyo unaamini Queen James Version ni neno la mungu pamoja na Satanic Bible pia ni neno la munguZote ni Neno la Mung mkuu Gavana. Bwana Yesu hujifunua kwa jinsi na namna zote za mapenzi yake atakavyo ya timizwe. Kwa nini Biblia ziko kwa lugha nyingi? Mungu anataka kweli yake iwafikie wote...
Zote ni Neno la Mung mkuu Gavana. Bwana Yesu hujifunua kwa jinsi na namna zote za mapenzi yake atakavyo ya timizwe. Kwa nini Biblia ziko kwa lugha nyingi? Mungu anataka kweli yake iwafikie wote. Shetani hataki kweli iwafikie wanadamu maana watamjua na watampinga na kumkimbia kuelekea mahali salama kwa ajili ya kuponya nafsi zao. Hii ya'kumpinga itakuwa ni kupitia kweli walio ijua kuhusu shetani na kuona kwamba anawalisha tango mwitu. Atatumia akili gani kuweka vikwazo hivi? Viko vingi ikiwemo na lugha. Ili achague mawakala wake wachache waijue lugha waendelee kuwalaghai walio wengi.
Mfano mzuri ni siku ile Roho Mtakatifu aliposhuka kutoka mbinguni. Inaitwa siku ya Pentekosti"50days" baada ya Yesu kutoka kaburini na kuishinda mauti/kifo na kaburi. "10days" baada ya Yesu kupaa na kuelekeacMbinguni. Roho Mtakatifu alishukia wanafunzi wa Yesu waliokutana kuabudu siku ile. (Matendo ya Mitume sura 2. Soma tafadhali, pengine utapato Neema ya Mungu uone huu ukweli unaopotoshwa). Uone ujasiri wa Petro aloupata baada ya kumpokea Roho Mtakatifu. Hakuwa tena yule Petro aliye mkana Bwana Yesu mara tatu. Alikuwa akijibishanavna kuwa shuhudia wanao weza kumchinja ama kumtundika kichwa chini miguu juu na kumuua.
Mipango ya Mungu siku zote ndivyo inavyoenda kwa upako wake. Kumbuka kipindi hicho walikuwepo watu kutoka pande zote za dunia wakiwa wamepanda Yerusalemi kuazimisha moja ya ibada iambatanayo na sherehe ya maashimisho ya dini ya Kiyahudi.
Gess what happened. Roho wa Mungu/ Mtakatifu aliwashukia kama Bwana Yesu alivyo wa ahidi na kuwa amuru wasubirie mpaka hapo atakapowashushia kutoka mbinguni Roho Mtakatifu. Ishara ya Roho ilikuwa na kwa kuonekana alama ya ndimi za moto angani na kuwaingi neno zuri kuwajaza wale wanafunzi walio kusanyika na walimanifesti kwa kunena kwa lugha za mataifa yote ya wale waliokuwa wakiwashuhudia.
Na walinena si maneno tu, bali walishudia Matendo Makuu ya Mungu wa Mbinguni aliyoyatenda kupitia Bwana Yesu. Unajua kwa nini muujiza ule ishara za ndimi za moto angani? Baada ya ibada ile wale walio kusanyika Yerusalemi kipindi kile walirudi huko walikotokea duniani kote kuanza kuihubiri Injili kwa kushudia walichokiona na kusikia kupitia karama ya kuneba kwa lugha ya Roho Mtakatifu. Neno la Mung lokarneo ulimwenguni kote kama vile moto usambaovyo nyikani. Mungu ni Neno la Uzima na tena ni Moto ulao., Upanga/ Jambia likatalo kuwili.
Hii ina kupa picha gani? Injili lazima iwafikiwe wote kwa namna ambayo Mungu anataka. Kabla ya siku ya mwisho wa dunia /kiama. Hii haiji mpaka Injili imehubiriwa pote duniani. Ili wa kudharau waseme tunao hubiri tumelewa mvinyo mpya tena asubuhi.
Hii uliyoleta hapa ni hoja tena ya wale ambao wengi wao hudanganywa na shetani kuwa Roho Mtakatifu ni nabii/ mtume flani . Ni uongo kwa mujibu wa imani ya Kikristo lakini. Ni uongo mweupe na bahati mbaya sana Biblia inatumiwa kama kilelezo chacl kujengea hoja. Kwanza hawana Roho Mtakatifu wa kuwasaidia kujua kwa ukamilifu kilicho kwenye Biblia. Kwa maana hiyo shetani ndiye huwasaidia kuijua nusu kweli ama robo na nusu ya ukweli wa Kibliia. Ili awatumie kuwapeleka jehanamu woa na watu watakao kuwa wame wadanganya.
Hivyo ni wito baada ya kuelewa haya basi Biblia na isitumike kuutetea huo uongo Waachwe watu waelewe na wakusaidika asidike aepushwe na Jehanamu lile tanuri la moto wa kuzimu usio zimika milele yote.
Walizitumikia kwa njia ya udanganyifu.Zile fedha zao mafao ni zao mkuu wamezitumikia hata kama umemfukuza.
Walizitumikia kwa njia ya udanganyifu.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hadi Sasa siamini nini hatima ya Tanzania.
Wacha niendelee kumuombea tu Samia asije akaangukia mikononi mwa Manyang'au..wakafanya biashara pale ikulu.
Hapa ndo wasiwasi wangu hata mimi.Hadi Sasa siamini nini hatima ya Tanzania.
Wacha niendelee kumuombea tu Samia asije akaangukia mikononi mwa Manyang'au..wakafanya biashara pale ikulu.
Umenena vyemaPoleni watanzania!
Tupo karibu kuifikia nchi ya ahadi.
Musa aliwavusha wayahudi lakini haikuwezekana kwa yeye kuiona nchi ya Ahadi...lakini hatimae wayahudi walifika nchi ya ahadi.
stay calm...safari ipo ukingoni.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli!
Wengi wa wayahudi walikufa njiani kwa sababu ya ukaidi, walioingia walikuwa kizazi kipya.Poleni watanzania!
Tupo karibu kuifikia nchi ya ahadi.
Musa aliwavusha wayahudi lakini haikuwezekana kwa yeye kuiona nchi ya Ahadi...lakini hatimae wayahudi walifika nchi ya ahadi.
stay calm...safari ipo ukingoni.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli!
MARIJUANA ON FIRE
Wataingia kizazi kipya na kusudio lile lile la zamani...HUO NDIO UHAKIKA...Wengi wa wayahudi walikufa njiani kwa sababu ya ukaidi, walioingia walikuwa kizazi kipya.