niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Mkuu HapanaNahisi mkono wa mabeberu tu.
Mengi yatabadilika na nchi itakaa mahali pake...Pamoja na hayo Lissu asitegemee atakuwa rais wa nchi hii.
Mitano ndugu watu hali mbaya mbaya ya maisha watu wameteseka sana sana hujakutana na watu waloomizwa na utawala huuu.At times nmekuwa critical kwenye Serikali hii, ila nlitamani sana amalizie miaka yake mi5 hii.. Mwenyezi Mungu aipokee roho yake!
Kinachoendelea TBC. Mungu tusaidie tuvuke salama [emoji2969]Daaaaahhhh TBC
Inapiga TUMEONA MKONO WAKO BWANA
Kufanya nnKesho kazini tunaenda?