Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Samia kashatangazaAcha upumbavu wako wewe shetani
Haya Chadema furahieni sasa mliyoyaomba yamejibiwa
Nadhani wote MAJALIWA, SAMIA,BASHE,CHALAMILA wanapaswa kuachia ngazi mara moja.Majaliwa ni muongo mkubwa sana na hii Serikali yote, “Rais yuko busy anapitia mafaili yake mnataka mmuone akizurura Kariakoo au Magomeni.”
Yes, japo alikuwa ananiudhi lakini sikuwa tayari kwa hili sbb sikuwa tayari kuona uchaguzi aisee.Baada ya kuondoka ndio sasa mtauona umuhim wake
Hawakuwa na mamlaka hayoSasa wale waliokamatwa kukusema ni mgonjwa waachiwe huru haraka sana.