TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Anayekupa chakula, maji, nguvu, uhai n.k sio Magufuli wala sio ccm

Ni kheri uwe mjinga kwa kunyamaza kuliko kusema ujinga wako kila mtu auone

Hakuna aliyekamilika duniani, vp ww utaiona pepo.?

Inawezekana ww una dhambi kumzidi marehemu lakini hakuna atakayekuhukumu zaidi ya Mungu
Acha upunguwan inafika wakati sifa za mwenyezi Mungu mnampatia binaadam....
 
Ni huzuni kubwa sana kuondokewa na Jemedari wetu
Poleni wafiwa
Tumuombe sana Mola
Upendo na umoja
 
Sheria inasema Maombolezo ni siku 21

Screen Shot 2021-03-18 at 12.54.44 AM.png
 
Sasa kama ulifukizwa kwa sababu hukuwa na vigezo hapo umeonewa.?

Unajua maana ya elimu? Unajua kwamba kuna formal and informal education? Kwani kinachofanya kazi ni cheti au uzoefu au utaalamu wangu? Nimefanya interview na nimepita kwenye interview, vyeti ni makataratasi tu ,kama vyeti ndio kinachofanya kazi basi wale madaktari wasingechanganya operation ya kichwa akfanyiwa mguu na wa mguu akafanyiwa ya kichwa.

Tuseme ukweli Jiwe alichemka kuwafukuza wenye vyeti feki ,nakuambia kama ulikuwa haujiu, Kikwete alikuwa najua kabisa kuna wafanyakazi wana vyeti feki ila aliwaambia wajiendeleza taratibu taratibu hiyo ndio busara mkuu,usijitoe ufahamu kisa upo verified kwa kujifanya mnafiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom