Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni na msiba.Alikukosea wap madam?
Mzee wangu amenitumia msg anasema poleni na msiba huko wakati alikuwa hampendi
MmhhhSijui mtakuwa mnamtukana nani tena hapa jukwaan.
Hatari mkuu MATAGA kwisha habari yao!! Tulijua lazima watatema KIAZI cha moto tu.Best nimecheka na hii comment🤣..neno mitano tena limekufa rasm dah
Is not a matter of kusameheana. Ila hii misiba iwe fundisho kwamba maisha ya duniani ni ya kupita.Sister binafsi naona la muhimu tumsamehe kibinadamu na tumuombee kwa Mungu amsamehe makosa yake..
Hii sijui imekaaje hii but ngoja tujisogeze tusikie watasema kitu gani!.Rest in peace.
A point of curiosity though...
CHADEMA wameitisha press conference kesho and usiku huu Mama Samia comes with this news.
Coincidence? Or has Chadema become a force to be reckoned with.
I concur! Adhabu ni kwetu, huyo kaenda zake hajui lolote huko anapataje adhabu. Ila the fact kwamba tunapoteza/wanatangulia wenzetu, wanaobaki wanaumia sana.Nadhani adhabu tunaipata sie tunaobaki tukisikitika. Ila kusema kuwa fulani amekufa Mungu amemuadhibu sio kweli...maana wapo waliokufa ambao jamii/familia inawapenda na kuwakubali.
.
.
Kifo kina sababu ..inaweza ikawa ni nzuri au mbaya. Wanaofurahia hiki kifo cha Rais wetu hebu tuone Kama maisha yao binafsi yatabadilika. Ningependa warudi hapa miaka miwili ijayo kutoa ushuhuda.
Hapo Team JK na Team Chattle lazima kazi iwepo.Hakika mkuu, sijui kama watakuwa na busara na kuweka maslahi ya taifa kwanza...
Nilichoogopa sana ni ule uwezekano wa kuongeza muda.Daah Nilitamani sana Amalize muda wake Yaani miaka yake mitano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Upumzike kwa amani Rais wetu Jemedari John Pombe Magufuli [emoji120]