Lakini mbona Lowassa naye hajaonekana hadharani kwa muda mrefu sasa au ni mimi tu ndo sijamuona?Lissu karibu nyumbani tule ugali kwa mlenda. Furahi Sasa mkuu.
Oooh Lowassa mgonjwa atafia ikulu. Kiko wapi sasa? Tuishi kwa utu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mbona Lowassa naye hajaonekana hadharani kwa muda mrefu sasa au ni mimi tu ndo sijamuona?Lissu karibu nyumbani tule ugali kwa mlenda. Furahi Sasa mkuu.
Oooh Lowassa mgonjwa atafia ikulu. Kiko wapi sasa? Tuishi kwa utu.
Mbona hiyo timu hapo ni nyepesi sana mkuu?Msimlaumuu, alikua anaongea tu kufunika hali hakuwa na taarifa sahihi; kina Bashiru; Msigwa; Dotto; Dr. Hassan na wengine ndio walikuwa wanajua
Ndio maana mnaona in frustration aliamua hata kukata ziara akatulia maana kauli yake ilimuaibisha
Acha tu mkuu...Na wizi wa kutisha umeshatokea wa bilioni 180 kama siyo zaidi na bahati mbaya sana tuna Bunge UCHWARA ambalo halijali maslahi ya Nchi.
Duuu, mauti ni darasa, tumuombeee apokelewe kwa amani.Nakumbuka kipindi anagombea Lowasa walisema
Ikulu hawezi kuingia mtu mgonjwa.
Hakika mkuu, sijui kama watakuwa na busara na kuweka maslahi ya taifa kwanza.Power struggle btn sects in the system
Duh hatari sana
Yan BAK leo una furaha sana,Na wizi wa kutisha umeshatokea wa bilioni 180 kama siyo zaidi na bahati mbaya sana tuna Bunge UCHWARA ambalo halijali maslahi ya Nchi.
Frank tuko msibani usituchekesheKwa sababu ya ubaya wake,ni kama majambazi wanavyojua muda wowote watauawa.
Kweli mkuu bila katiba nzuri maamuzi ya msingi kuhusu taifa yanaweza fanywa kwa namna ya kuharibu.Katiba ni uhai wa watu
Na kuna kitu nakuwa napata hisia...Cha msingi watu wakipata nafasi wasinyanyue mabega kuna leo na kesho.
Hata mimi nimemsamehe, amepata adhabu kubwa mno maskini ya Mungu.. Mungu angempa uhai akafanya kitubioAllah amsamehe makosa yake..binafsi nishamsamehe!
🤣🤣🤣🤣 huyo lazima..ila Makonda atakua anaumia...ameenda babake bila kuachiwa ajira ya kudumuNa kuna kitu nakuwa napata hisia...
Kuna watu walio katika uongozi wataanza kujifanya wao ndio Magufuli waliobaki, si ajabu vikatokea vimtu kama kina Sabayer kwa mwamvuli wa kumuenzi the real JPM vikaongoza watu kwa mabavu kupitiliza!
Alikukosea wapi madam?Hata mm nimemsamehe amepata adhabu kubwa mno maskini ya Mungu..Mungu angempa uhai akafanya kitubio