TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Lissu karibu nyumbani tule ugali kwa mlenda. Furahi Sasa mkuu.

Oooh Lowassa mgonjwa atafia ikulu. Kiko wapi sasa? Tuishi kwa utu.
Lakini mbona Lowassa naye hajaonekana hadharani kwa muda mrefu sasa au ni mimi tu ndo sijamuona?
 
Msimlaumuu, alikua anaongea tu kufunika hali hakuwa na taarifa sahihi; kina Bashiru; Msigwa; Dotto; Dr. Hassan na wengine ndio walikuwa wanajua

Ndio maana mnaona in frustration aliamua hata kukata ziara akatulia maana kauli yake ilimuaibisha
Mbona hiyo timu hapo ni nyepesi sana mkuu?

Bashiru, ni mgeni kwenye genge, hajui lolote mbali ya chama.

Msigwa? kweli anao uzito wa kuamua chochote?

Comical Abbas wa Magufuli? Hiyo ilikuwa ni spika tu, hana uzito wowote

Labda useme huyo Dotto, Mpwa; lakini hata yeye, kama yeye pekee yake au katika kakikundi ka aina ile ataogopa matokeo yake.

Lazima kutakuwepo na genge la watu wazito zaidi ya hao uliowataja, wanaoweza kufanya walichofanya.

Shughulisha kichwa zaidi mkuu Phillemon, ninakuaminia sana katika mambo kama haya.
 
Na wizi wa kutisha umeshatokea wa bilioni 180 kama siyo zaidi na bahati mbaya sana tuna Bunge UCHWARA ambalo halijali maslahi ya Nchi.
Acha tu mkuu...

If prayers are real, then we all should start praying for our nation.

Kuanzia sasa na kuendelea, tujiandae kupigwa na maadui wanaoonekana na wasioonekana ndani na nje.

Bahati mbaya sana sina hakika hao CCM kama walishajiandaa maisha yatakuwaje baada ya utawala wa JPM kumalizika.

Just imagine watu waliokuwa wanapiga debe JPM atawale bila ukomo, sasa hivi watawezaje kutuvusha?
 
Na wizi wa kutisha umeshatokea wa bilioni 180 kama siyo zaidi na bahati mbaya sana tuna Bunge UCHWARA ambalo halijali maslahi ya Nchi.
Yan BAK leo una furaha sana,
Yaani nahisi hakuna siku ambayo una furaha kama leo
 
Cha msingi watu wakipata nafasi wasinyanyue mabega kuna leo na kesho.
Na kuna kitu nakuwa napata hisia...

Kuna watu walio katika uongozi wataanza kujifanya wao ndio Magufuli waliobaki, si ajabu vikatokea vimtu kama kina Sabayer kwa mwamvuli wa kumuenzi the real JPM vikaongoza watu kwa mabavu kupitiliza!
 
🤣🤣🤣🤣 huyo lazima..ila Makonda atakua anaumia...ameenda babake bila kuachiwa ajira ya kudumu
 
Roho inaniuma, innallillah wainnah illyhi rajiuun
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom