TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Is not a matter of kusameheana. Ila hii misiba iwe fundisho kwamba maisha ya duniani ni ya kupita.
Fundisho gani, kwani hata ukifundishwa hutakufa? Let the bygones be bygones. Hivi tukifundishwa kuishi vizuri na watu ndio tutaishi milele?

Tujifunze kuishi mazuri ya mtu, hayo mengine tuachane nayo coz hakuna anayekufa na mazuri tu au mabaya tu.
 
Katika watu nitakaowadharau katika maisha yangu yote, ni Majaliwa. Mtu anaumwa, yuko taabani, bila hata aibu unatoka unasema eti hajambo, anachapa kazi.

Katika hali ya kawaida, itokee ndugu yako au jirani yako anaumwa hoi bin taabani, halafu jitu litokee liseme kuwa huyo jirani yenu ni mzima wa afya kabisa, mtu wa namna hiyo mtamwelewaje?

Majaliwa hastahili kupewa nafasi yoypte kubwa. Kwa kuwa ni mwongo, aliliongopea Taifa.
Mbaya zaidi alishupaa kuyasema hayo akiwa kwenye mimbari ya msikiti na siku tukufu ya Ijumaa. Ama kweli aliyesema tusichanganye dini na siasa hakukosea!
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema.
Amen.
nina maumivu na machungu makubwa moyoni, ila sina la kusema zaidi ya kushukuru.

ushauri wangu nchi yetu lazima isonge mbele, hivyo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na mawaziri wanapaswa wawe makini kuliko ktk kipindi chochote kile, hiki ndio kipindi cha kuonyesha uhodari na ukomavu.
kamwe tusiruhusu maadaui wa Taifa letu kutugawa au kutuuibia mali zetu.
 
FB_IMG_1616040435916.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom