TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada uwe unahakiki unavyoandika ukiambatanisha na ushaidi.

Kumb 34:4.
 
Poleni watanzania!
Tupo karibu kuifikia nchi ya ahadi.
Musa aliwavusha wayahudi lakini haikuwezekana kwa yeye kuiona/kuifika nchi ya Ahadi...lakini hatimae wayahudi walifika nchi ya ahadi.

stay calm...safari ipo ukingoni.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli!
Huyo labda musa muuza kahawa hapo lumumba,hakuna nabii anaeweza toka kwenye chama cha majambazi,wauaji,wezi,mafisadi
 
Poleni watanzania!
Tupo karibu kuifikia nchi ya ahadi.
Musa aliwavusha wayahudi lakini haikuwezekana kwa yeye kuiona/kuifika nchi ya Ahadi...lakini hatimae wayahudi walifika nchi ya ahadi.

stay calm...safari ipo ukingoni.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli!
Kuna mahali Musa alibugi.
 
Pole na wiki nzito

Jana nimecheka sana baada ya kumsikia Mwanamuziki mmoja aitwaye Afande Rasta.

Hivi afande, huyo Mungu unayemtukana, wakati akimuumba jpm ulikuwepo? Je wewe ndiye uliyemuambia amuumbe jpm? Kama sio, iweje umtukane Mungu akiwa kwenye majukumu yake?
Ulitaka ufe wewe au afe nani?

Acheni tabia ya kujipendekeza kwa marehemu mkadhani mtapata sifa yeyote, haya mimi sipo
 

Attachments

  • IMG-20210319-WA0042.jpg
    IMG-20210319-WA0042.jpg
    71.5 KB · Views: 3
Pole na wiki nzito

Jana nimecheka sana baada ya kumsikia Mwanamuziki mmoja aitwaye Afande Rasta.

Hivi afande, huyo Mungu unayemtukana, wakati akimuumba jpm ulikuwepo? Je wewe ndiye uliyemuambia amuumbe jpm? Kama sio, iweje umtukane Mungu akiwa kwenye majukumu yake?
Ulitaka ufe wewe au afe nani?

Acheni tabia ya kujipendekeza kwa marehemu mkadhani mtapata sifa yeyote, haya mimi sipo
 
Jamaa kafeli sana, bangi ina safari ndefu ya kuhalalishwa kwa sababu ya wapuuzi kama hawa.
 
Mi nasema kama watu hawa wanaojiita wakristo au waislam wasipolalamikia hili jambo rasmi nitaumia sana. Labda tuambiwe alikuwa alikuwa anamaanisha mungu tumbo au vinginevyo. Lakn kama ni huyu mzee wa cku lazma hatua zichkuliwe. Haiwezekan hli jambo likapita hiv hiv.
 
Poleni watanzania!
Tupo karibu kuifikia nchi ya ahadi.
Musa aliwavusha wayahudi lakini haikuwezekana kwa yeye kuiona/kuifika nchi ya Ahadi...lakini hatimae wayahudi walifika nchi ya ahadi.

stay calm...safari ipo ukingoni.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli!

WAPI JOSHUA WETU?
 
Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume.


Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).

Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.

Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.

Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”

Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu isipokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”

Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.

Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86;

Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76;

Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73;

na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66, likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ),

American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.

Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:

(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”

(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”

Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yenu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu ”

Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS).

Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.

Hata hivyo, kutokana na nkuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):

"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

Sijaona ukieleza kuwa zinatofauti katika jinsi ya kumfuata Yesu na kuweza kuuona/kuupokeaUfalme wa Mbinguni.
Kuna ambayo inasema usimpokee/kumkubali Yesu?
Kuna ambayo inasema usitubu dhambi zako?
Kuna ambayo inasema usibatizwe kwa maji?
Kuna ambayo haikiri kuwa Yesu atabatiza kwa
Moto na kwa Roho Mtakatifu?
Kuna ambayo haisemi Yesu Kristo ndio njia pekee ya Kweli na Uzima? Hakuna mwabadamu atakaye pata Uzima wa milele bila ya kupitia yeye.

Kuna ambayo haisemi kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa?
Kuna ambayo haisemi Bwana Yesu alifufuka na alishinda kifo na kaburi. Kaburi lake liko wazi?
Kuna ambayo haiseme Yesu alifufua wafu akiwemo Lazarius?
Kuna ambayo haisemi lazima niondoke duniani ili msaidizi wa karibu Roho Mtakatifu aje kuishi nanyi hapa duniani?
Kuna ambayo inasema Roho Mtakatifu ni mwanadamu?
Kuna ambayo inakana Yesu alizaliwa na Mariam akiwa bikira?
Kuna ambayo inakataa kuwa Yesu ni mzao wa Daudi, Yakobo, Isihaka, na Ibrahim.
Kuna ambayo haisemi Yesu ni Adam wa pili ambaye kwa kupitia yeye ulimwengu mzima umeokelewa na dhambi? Hapa shsrti ni umpokee na kubatizwa utubu dhambi zako ndio vigezo lakini. Hamna nafasi ya kumkiri na kumpokea kiholela holela. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Naachia hapa kwani yako mengi sana sana hakuna anayeweza mwanadamu kuyadocoment matendo yote ya Bwana Yesu.
Kwenye maombolezi ya mpendwa wetu JPM naendelea kuwa makini pamoja na yatokanayo. Hii mbinu yenu ya kuniweka busy na maswali ya Mungu haitafua dafu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom