Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ulitaka iandikwe vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uwongo?? Huu ndiyo ukweli wa mchana kweupee!wikipedia wameandika kuwa chanzo cha kifo cha hayati Magufuli ni Covid-19
Muelekeze na mitaa alikopumzikia Ben Saanane na Lwajabe.Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.
....Ulipozidiwa tu na na wakagundua hutopona hadhina wakaanza kujilipa malipo ya mamilioni ya pesa!
....Ulipokufa tu Tanesco wakarejelea katika hali yao ya zamani.Unaambiwa sasa hivi hata mfumo wa tehama wa kununua umeme wa luku haueleweki!
Umeme pia kila baada ya lisaa unakatika.
....Ulipokufa tu,baadhi ya rafiki zako wakakutukana na kukukejeri kwa dharau zilizopindukia!
....Unaambiwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unapigiwa upatu hatari na waliokuwa jamaazo!
....LNG na wazungu waleeee muda si mrefu eti mradi ule utaanza.
.....wafanyabiashara sasa wanao uwezo wa kutufanya chochote na tusiwaguse!
...kuna kila dalili Magogoni kuendelea kuwa makao...!
....wazungu tunawalamba vyovyote watakavyo!
....barakoa na Corona ruksa!
Na mengine mengi.
Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'
Nilisahau,machinga ni suala la muda tu huenda wataisoma bamba!
Yapo mengi ila kwa leo itoshe kusema hayo.
RiP JPM.
Magufuli ni binadamu aliyewahi kutawala Tanzania akiwa mpumbavu sana. Rudia neno mpumbavu.Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.
....Ulipozidiwa tu na na wakagundua hutopona hadhina wakaanza kujilipa malipo ya mamilioni ya pesa!
....Ulipokufa tu Tanesco wakarejelea katika hali yao ya zamani.Unaambiwa sasa hivi hata mfumo wa tehama wa kununua umeme wa luku haueleweki!
Umeme pia kila baada ya lisaa unakatika.
....Ulipokufa tu,baadhi ya rafiki zako wakakutukana na kukukejeri kwa dharau zilizopindukia!
....Unaambiwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unapigiwa upatu hatari na waliokuwa jamaazo!
....LNG na wazungu waleeee muda si mrefu eti mradi ule utaanza.
.....wafanyabiashara sasa wanao uwezo wa kutufanya chochote na tusiwaguse!
...kuna kila dalili Magogoni kuendelea kuwa makao...!
....wazungu tunawalamba vyovyote watakavyo!
....barakoa na Corona ruksa!
Na mengine mengi.
Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'
Nilisahau,machinga ni suala la muda tu huenda wataisoma bamba!
Yapo mengi ila kwa leo itoshe kusema hayo.
RiP JPM.
1.Tokea aondoke watumishi wameanza kupandishwa vyeo.Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.
....Ulipozidiwa tu na na wakagundua hutopona hadhina wakaanza kujilipa malipo ya mamilioni ya pesa!
....Ulipokufa tu Tanesco wakarejelea katika hali yao ya zamani.Unaambiwa sasa hivi hata mfumo wa tehama wa kununua umeme wa luku haueleweki!
Umeme pia kila baada ya lisaa unakatika.
....Ulipokufa tu,baadhi ya rafiki zako wakakutukana na kukukejeri kwa dharau zilizopindukia!
....Unaambiwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unapigiwa upatu hatari na waliokuwa jamaazo!
....LNG na wazungu waleeee muda si mrefu eti mradi ule utaanza.
.....wafanyabiashara sasa wanao uwezo wa kutufanya chochote na tusiwaguse!
...kuna kila dalili Magogoni kuendelea kuwa makao...!
....wazungu tunawalamba vyovyote watakavyo!
....barakoa na Corona ruksa!
Na mengine mengi.
Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'
Nilisahau,machinga ni suala la muda tu huenda wataisoma bamba!
Yapo mengi ila kwa leo itoshe kusema hayo.
RiP JPM.
Isomeke hazinaNimeishia hapo kwenye "hadhina".
Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.

Hivi kweli utatamani arudi?1.Tokea aondoke watumishi wameanza kupandishwa vyeo.
2. Tokea aondoke uamsho wameachiwa huru.
3. Tokea aondoke kukosoa serikali hakuna shida Tena.
4. Tokea aondoke Sheria zinafuatwa.
5. Tokea aondoke ukanda unapungua.
6. Tokea aondoke heshima ya ushirikiano wa kimataifa unazidi. Unaweza kuongezea

Wa Mazezeta atakumbukwa na Mazezeta wenzieRais na shujaa
1.Tokea aondoke watumishi wameanza kupandishwa vyeo.