Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
Sawa tuRAIS azunguke kadri anavyoweza... Wananchi lazima wapate unafuu kutokana na uwepo wa binadamu wengine!!
Zunguka Mama!
NB: Lakini Cairo Misri kaenda na ATCL
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.
Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.
Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.
Mmi pia aise,
Huyu Mama ananyota aise, DuuhGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
===
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
===
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
===
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
===
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
===
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza,
===
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu
===
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
===
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam,
===
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
==
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
===
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
===
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
===
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
===
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
===
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu,
===
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga,
===
View attachment 2006415
View attachment 2006416
#Tanzania kaziiendeleeGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,

Magu alikuwa anatoka Dodoma to Chato by road, mara nyingi tuu; Mbona almost same to Dar -Mwanza??Mwanza - Dar thats too far.
Kaziiendelee TanzaniaGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza.
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu.
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam.
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu.
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga.
View attachment 2006415
View attachment 2006416
Ziara za ndani Zina magari ya chama,, wabunge, wafanya biashara, watu wa taasisi binafsi, mabalozi, nkGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,

Bado gharama ni kubwa sana,Ziara za ndani Zina magari ya chama,, wabunge, wafanya biashara, watu wa taasisi binafsi, mabalozi, nk
Hio Ina maana sio magari yote ktk msafara wa Raisi ni gharama ya serikali
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzaniaGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza.
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu.
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam.
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu.
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga.
View attachment 2006415
View attachment 2006416
FactMtoa post ninakushukuru sana mazuzu hayalifahamu suala hili pia tija za safari hizi ni kiduchu sana ambazo zingepaswa kusimamiwa na wasaidizi wake kiongozi anapaswa kwenda huko na huko kutengeneza michongo
Daaah "Hoja nzuri sana hii "Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza.
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu.
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam.
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu.
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga.
View attachment 2006415
View attachment 2006416
100%Mtoa post ninakushukuru sana mazuzu hayalifahamu suala hili pia tija za safari hizi ni kiduchu sana ambazo zingepaswa kusimamiwa na wasaidizi wake kiongozi anapaswa kwenda huko na huko kutengeneza michongo