Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Huyu Mama ananyota aise, Duuh
 
#Tanzania kaziiendelee
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Ziara za ndani Zina magari ya chama,, wabunge, wafanya biashara, watu wa taasisi binafsi, mabalozi, nk

Hio Ina maana sio magari yote ktk msafara wa Raisi ni gharama ya serikali
 
Ziara za ndani Zina magari ya chama,, wabunge, wafanya biashara, watu wa taasisi binafsi, mabalozi, nk

Hio Ina maana sio magari yote ktk msafara wa Raisi ni gharama ya serikali
Bado gharama ni kubwa sana,
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Mtoa post ninakushukuru sana mazuzu hayalifahamu suala hili pia tija za safari hizi ni kiduchu sana ambazo zingepaswa kusimamiwa na wasaidizi wake kiongozi anapaswa kwenda huko na huko kutengeneza michongo
 
Daaah "Hoja nzuri sana hii "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…