Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Hamna V8 inayotumia mafuta vibaya hivyo mfanyie service magari yenu jamani!

Proper working Engine inatakiwa ikupe Economy ya 10.2lt per 100km ikiwa kama ni wastani wa 10km per litre.

Rudia tena hizo hesabu zako mzee sababu kwa safari ya 1146kms/10km utapata around 114.6 ltr kwa safari yote. Kwa magari arobaini ni sawa na 114.6ltr x 40 = 4,584 ltrs ukizidisha kwa 2500 inakupa 11,460,000 TZS!

Hio ni kwa flat specs 1VD-FTV engines ila gharama inaweza ikazidi hapo hata ikawa mara 2 yake provided gari hazitumii same engine na makamuzi ya 180-220 KPH ikawa 22,920,000 TZS ndio real cost ya mafuta ya hizo gari!

Hio figure ya zaidi ya 100M umeipataje?
 
Uko vizuri mchochezi
 
Tunamtakia kila lenye heri Rais wetu,

Safari za nje hazina gharama kama ilivyo kwa zile za ndani,
 
Sawa ila sio kweli,
 
Sahihi kabisa,
 
Tugawana basi hizo ngawila mnazopewa kupiga propaganda ! nchi haijengwi kwa kufanya spinning mitandaoni..
 
Rais wa JMT hapandi ndege economy class. Labda hao 'ma deligate' wake.
 
Kwanza anatumia hela ya chanjo na si kodi zetu hapo hakuna tatizo mama SASHA kazi ya kutangaza utalii iendelee kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
anatangaza utalii gani wakati kaenda kukopa kuongeza deni la taifa
 
Kaziiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…