Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Safari za ndani hutumia AirTanzania, hizo v8 hutumika ndani ya mikoa husika, lakini sio kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine labda kama hiyo mikoa iwe karibu, mfano Dsm - Pwani au Kilimanjaro - Arusha, lakini sio Mwanza - Dar thats too far.
Hizo V8 zinaachiana mkoa kwa mkoa ila mafuta ni ya Serikali
 
Hahaha yaani unajitoa ufahamu kujustfy safari za Hangaya?

Mbona hujaongelea hotel za nyota 5 wanakolala huo msafara?

Posho zao wakiwa nje ya nchi si maradufu ya zile za ndani?

Vipi msosi 😁😁😁😁
Kwani wakiwa Tanzania hawali wala kula?
 
Kama anasafiri kwa kutumia million 200 na huku tukitegemea kupata turnover au manufaa ya zaidi ya billion 10 wacha asafiri ilimradi anasafiri kikazi na sio kwenda ku starehe
 
Back
Top Bottom