Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Mtu mmoja alisema; "Tanzania inaongoza kwa kuzalisha wasomi ambao ni mbumbumbu, na wasio na msaada kwa taifa lao".
Badala ya kutueleza hizo safari; ama za nje ama za ndani zina faida gani kwa Taifa, mtu anatuletea hesabu za nafuu!

Huu ni msiba mkubwa!!![emoji36]
 
Kwani vipi kuhusu Wale waliosema Rais anafuja pesa ya nchi kwaKwenda nje?
 
Kama si hivyo basi wangepanda ATCL tu
Unania nzuri na Nchi hii ndugu, ila Viongozi wa CCM hawawezi kuionea huruma Kodi yako wataitafuna kwasababu wanajua utalipa Kodi nyingine,ndio maana wanaiba Uchafuzi na kubambikia Wapinzani makesi pamoja na kuteka na kuuwa.
 
Kwanza anatumia hela ya chanjo na si kodi zetu hapo hakuna tatizo mama SASHA kazi ya kutangaza utalii iendelee kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Unania nzuri na Nchi hii ndugu, ila Viongozi wa CCM hawawezi kuionea huruma Kodi yako wataitafuna kwasababu wanajua utalipa Kodi nyingine,ndio maana wanaiba Uchafuzi na kubambikia Wapinzani makesi pamoja na kuteka na kuuwa.
Ila sio awamu ya Rais Samia ndg, Hakuna mpinzani ataibiwa uchaguzi kwa sasa,
 
Hapa hatuna rais...yeye ni kama makamo wa rais...akitoka safari utamuona kwenye makongamano mara huku mara kule...kuna watu wengine wanaendesha nchi...kwa rate hii anaweza kuvunja record ya kusafiri ya Vasco da gama ya miaka 10 kwa muda mfupi...
 
Ziara za ndani ni kuharakisha maendeleo, kutatua kero, kukagua miradi, kuzijua changamoto za wapiga kura..sio mpaka wakati wa kampeni.

Ziara za nje kula bata, kupumzika, kutumia gharama zisizo za lazima, makongamano, warsha.
Ziara za nje Siyo hadi ujue kiingereza tu? Hahaha hohooo kwikwiii😆😆😆😆👌🏿
 
Hapa hatuna rais...yeye ni kama makamo wa rais...akitoka safari utamuona kwenye makongamano mara huku mara kule...kuna watu wengine wanaendesha nchi...kwa rate hii anaweza kuvunja record ya kusafiri ya Vasco da gama ya miaka 10 kwa muda mfupi...
Mkuu lala naona ni Usingizi tu
 
Back
Top Bottom