Bee Network
Member
- Nov 19, 2020
- 18
- 68
Kwani vipi kuhusu Wale waliosema Rais anafuja pesa ya nchi kwaKwenda nje?Mtu mmoja alisema; "Tanzania inaongoza kwa kuzalisha wasomi ambao ni mbumbumbu, na wasio na msaada kwa taifa lao".
Badala ya kutueleza hizo safari; ama za nje ama za ndani zina faida gani kwa Taifa, mtu anatuletea hesabu za nafuu!
Huu ni msiba mkubwa!!![emoji36]
Kwahiyo unataka kusema Samia na msafara wake huwa wanakaa Economy Class?Ni economy ndicho nilichoandika
Kama nia ni kubana matumizi watakaa tu why notKwahiyo unataka kusema Samia na msafara wake huwa wanakaa Economy Class?
Tozo haina uchungu ndugu,muangalie Mwigulu mashavu yalivyomjaa.Kama nia ni kubana matumizi watakaa tu why not
Kama si hivyo basi wangepanda ATCL tuTozo haina uchungu ndugu,muangalie Mwigulu mashavu yalivyomjaa.
Samia na msafara wake hawezi kukaa Economy tuambiane ukweli.
Unania nzuri na Nchi hii ndugu, ila Viongozi wa CCM hawawezi kuionea huruma Kodi yako wataitafuna kwasababu wanajua utalipa Kodi nyingine,ndio maana wanaiba Uchafuzi na kubambikia Wapinzani makesi pamoja na kuteka na kuuwa.Kama si hivyo basi wangepanda ATCL tu
Ila sio awamu ya Rais Samia ndg, Hakuna mpinzani ataibiwa uchaguzi kwa sasa,Unania nzuri na Nchi hii ndugu, ila Viongozi wa CCM hawawezi kuionea huruma Kodi yako wataitafuna kwasababu wanajua utalipa Kodi nyingine,ndio maana wanaiba Uchafuzi na kubambikia Wapinzani makesi pamoja na kuteka na kuuwa.
Naungana na wewe 100%Kwanza anatumia hela ya chanjo na si kodi zetu hapo hakuna tatizo mama SASHA kazi ya kutangaza utalii iendelee kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Keshaanza kuteuwa Wakurugenzi makada wa Chama wizi utakuwa palepale.Ila sio awamu ya Rais Samia ndg, Hakuna mpinzani ataibiwa uchaguzi kwa sasa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vasco Hangaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ziara za nje Siyo hadi ujue kiingereza tu? Hahaha hohooo kwikwiii๐๐๐๐๐๐ฟZiara za ndani ni kuharakisha maendeleo, kutatua kero, kukagua miradi, kuzijua changamoto za wapiga kura..sio mpaka wakati wa kampeni.
Ziara za nje kula bata, kupumzika, kutumia gharama zisizo za lazima, makongamano, warsha.
Kamteua nani kada?Keshaanza kuteuwa Wakurugenzi makada wa Chama wizi utakuwa palepale.
DaahZiara za nje Siyo hadi ujue kiingereza tu? Hahaha hohooo kwikwiii๐๐๐๐๐๐ฟ
Mkuu lala naona ni Usingizi tuHapa hatuna rais...yeye ni kama makamo wa rais...akitoka safari utamuona kwenye makongamano mara huku mara kule...kuna watu wengine wanaendesha nchi...kwa rate hii anaweza kuvunja record ya kusafiri ya Vasco da gama ya miaka 10 kwa muda mfupi...
Nanani mkuu?Tunapigwa sana aisee
Nalog off