Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Karibu nyumbani mama Samia
 
 
Hahaha yaani unajitoa ufahamu kujustfy safari za Hangaya?

Mbona hujaongelea hotel za nyota 5 wanakolala huo msafara?

Posho zao wakiwa nje ya nchi si maradufu ya zile za ndani?

Vipi msosi 😁😁😁😁
Hizo ni gharama ndogondogo tu
 
 
45.5L/100km kweli? Yaani lita 1 inayembea 2.2km?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…